Makonda alipunguza sana wanaojiuza

aliwapunguza wapi si aliamua kwaondoa mtaani ili wauzie maofisini kama yeye alivyokua anapakuliwa na mzee baba, kimsingi alitaka wauze kistaarabu kama yeye sio hadharani
 
HAKUNA BINADAM ATAEWEZA KUIDHIBITI HII BIASHARA ISIPOKUWA SISI WANAUME
Kuna wanaume wajinga kweli unaenda kununua kweli umeshindwa kuoa
Au umeoa gharasa unashindwa ku control mke? Kimbilio lako ukanunue hiyo kujiongezea stress maana unakuwa na gualty(hatia) mwenyewe
 
Kuna wanaume wajinga kweli unaenda kununua kweli umeshindwa kuoa
Au umeoa gharasa unashindwa ku control mke? Kimbilio lako ukanunue hiyo kujiongezea stress maana unakuwa na gualty(hatia) mwenyewe
😂😂😂Kile kipozeo sometime wife hataki kuguswa nawe upo full charge wanaamua kwenda kwa mitelezo chap anamaliza anasepa. Ila kwa upande mwngin imesaidia kuondoa makesi ya ubakaj coz wapo malaya cheap wa chini ya 5000
 
"Afadhali mkikaa sehemu za starehe" ohoo mkuu umekosea kutype soma vzr me mwnAume rijali
Pole sana mkuu "wakikaa" lakini wanaoenda pale kuwanunua ni rijali pia mkuu sema mimi nawaona wana stress sidhani ukiwa na akili zako timamu na una mke unaweza kwenda kununua!
 
Kile kipozeo sometime wife hataki kuguswa nawe upo full charge wanaamua kwenda kwa mitelezo chap anamaliza anasepa. Ila kwa upande mwngin imesaidia kuondoa makesi ya ubakaj coz wapo malaya cheap wa chini ya 5000
Ushauri wako iendelee hiyo biashara? Na kwa uwazi maeneo tena ya wazi?
 
Ushauri wako iendelee hiyo biashara? Na kwa uwazi maeneo tena ya wazi?
Hapana sijasema iendelee Lakin pia tukubali kukatae haiwez kuisha leo wala kesho kwnz watu tumebebwa na mentality ya kwamba ni BIASHARA kongwe toka enzi za mitume kwahyo tunaona sawa tu iwepo lakn pia Kwny hii biashara kuna watu wanaipa nguvu ikiwemo viongoz wengine kama wabunge wa dom wanaonunua wanachuo na pia sisi wanaume wengn ambao tunanunua kwa hilo kuisha hii biashara ni wanunuzi kugomea kunnua apo wauzaji watakosa wateja.

Sishaur iendelee lakn sina nguvu ya kushauri iachwe me ni raia tu nisie na effect yyt Kwny serikali
 
Kazi ni kazi nchi huru wacha watu wafanye mambo yao kwa Uhuru

Makonda mwenyewe alikuwa shoga tu
 
Kipindi kile mpaka defender za kipolisi zilikuwa zinakamata kweli operation za usiku sasa hivi sijui wamewasahau au wamehalalisha
Machangu wanahitajika kwa wateja hapa mjini ili kuondoa stress zao, we angalia Kajala anavyojidhalilisha na mwanawe mtandaoni lakini Basata na Polisi wanamchekelea tu kuona kama anafanya la maana kujibandika mkundu wake mtandaoni huku akicheka.
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza, hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale Ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni, kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwadhania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI, SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Wajiuze tu Mkuu maisha Magumu hiyo ni njia aliyoichagua kujitafutia kipato.

Hata wakiamua kujiuza mchana wajiuze tu kama wateja wapo.

Wapunguze na Bei kidogo
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je, haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.

Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu.

(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Ubungo sehemu gani mwamba nami nikapate huduma ni kitambo sijatafuna papuchi
 
Bashite alikuwa zinafukuza malaya ili yeye ndio abadili akamate masoko kila kona
 
Mbona walikuwepo sana tena mapema ukipita mitaa ya mapambano wamejipanga mpka bamaga.
 
Sikatai ndugu lakini ukiangalia vinguo wanavyovaa na muda huo ni mapema sana mbona hapo nyuma hayakuwepo? Hakuna kuteseka kwenye mahusiano ni uzembe wa mwanaume tu
Hapa Tulianzisha uzi ukitaka kuoa tafuta bikra
Si Tanzania tu bali dunia nzima inabadilika. Kuna nchi zimerasimisha kabisa hizi shughuli ingawa kwasababu ya korona sasa zimesitishwa. Changamoto za kwenye ndoa hakuna anayeziombea. Kutafuta mwenza anayefaa kunahitaji muda na si kila mtu anapata huo muda kutokana na kupambana kujikwamua kutoka umasikini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza, hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale Ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni, kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwadhania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI, SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Alikuwa na roho mbaya,na majivuno na u mungu mtu Hilo halina Siri,kwingine alijitahidi
 
Back
Top Bottom