Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Makonda anajitahidi kwa chapakazi ukilinganisha na watenjaji wengi kwa maana ya wakuu wa wilaya na Mikoa ila apunguze sifa kidogo kuna sehemu anatumia ubabe sana ila kiukweli anajitahidi.
 
Tukiacha siasa na ushabiki.. Kijana mwenzetu anapiga kazi! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.. Tunaona ni kwa jinsi gani anavyokomaa kuhakikisha anaendana na kasi ya Muheshimiwa.. Raisi JPM..
Nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamchukia sana Makonda, lakini kwa jinsi alivyolishughulikia suala la wananchi wake kuvamia na kuligawana shamba la Sumaye nilimheshimu.
 
Naona anaenda kuwa RC kama sio Mwz basi Mbeya....kijana amejitahidi kulinganisha na DC wengine
 
Awamu ya tano siyo ya kusifiana ndugu zangu...makonda kafanya nini? kugombana na watu na kuvunja sharia ndo leadership skills? terrible terrible and wonders shall never end! Aisee over my dead body huyo mtu hawezi kuwa my role model..katu katu...simkubali tena magufuli akimpandisha cheo nazidi kukerwa nae...badala ya kupambana na mapolisi vibaka na majambazi anakuja kumsifia huyo chizi ...hana adabu ndo sifa ya makonda..
 
Kupanda cheo siyo lazima u-rc tu.! Rais ana nafasi nyingi.
 
Ngoja tusubiri, kama kwa kuweka ndani Wapinzani, na kuwaweka ndani watendaji bila kufuata sheria ndiyo sababu basi sasa ninaelewa Magufuli na JK hawana tofauti.
 
makonda angepewa uwaziri kabisa, jamaa nimempenda kwa style yake ya kuchukua action
jamaa ndio alizima mgomo wa daladala hapa dar, bravo
mimi ni UKAWA ninayependa maendeleo ya nchi
 
Ingawa siipendi sisiem, lakini kiukweli Makonda ameonyesha uwezo wa kua kiongozi bora na sio bora kiongozi.
Kuna siku nikilikua nimekaa mahali na washkaji tunasogoa, na hapo ndipo ilipokuja issue ya jinsi kinaja Makonda anavyo iongoza wilaya ya kinondoni. Aiseeee.....
Huyu kijana anajitahidi sana pasipo ubishi, na niseme kwamba kumbe Makonda hakupewa nafasi kipindi cha Jakaya
Kweli kabisa na wala si muigizaji kwa kuwa alianza mapema sana toka enzi za JK na alikuwa mwanzoni anaonekana kama anacheza ngoma peke yake lakini kwa kweli nimemuona ni Mtawala,mbunifu na anajua unachofanya.
 
Anaendana na kasi ya JPM tht's why. ila nina wasiwasi na Sadiki maana kaambiwa Ole wake!

samahani mkuu naomba usichukulie kama nakukosoa au simpendi makonda.

natakajua ni yapi kafanya huyu kijana maana mpaka rahsi kumsifia niktu kkubwa hasa raisnjembe kama magufuri.

tafadhari
 
samahani mkuu naomba usichukulie kama nakukosoa au simpendi makonda.

natakajua ni yapi kafanya huyu kijana maana mpaka rahsi kumsifia niktu kkubwa hasa raisnjembe kama magufuri.

tafadhari
J3 nenda ofsn kwake hapo magomeni
 
Hatukatai ila Naye analo la kujifunza .. mimi na mkubali sana isipokuwa ni kimkumbuka mzee warioba basi tena.
Hivi kwa nini mnaukataa ukweli? Mzee Warioba alitoa maelezo baada ya kuona bavicha unawehuka kuwa Makonda alimsaidia nyie mnafosi alimpiga, endeleeni kulalama, ila ndo mrithi wa Meck Sadick, aendelee kupiga kazi, kawaulize kule Madale kazaroho kafanyaje, sio huko tu, ni kino yote! Endeleeni na chuki za kipumbavu maana wachapakazi hawatakiwi ukawa, daima mnawapingaga.
 
Si kila mtu ukawaa ni dhambi unatulisha hiyooo....
 
samahani mkuu naomba usichukulie kama nakukosoa au simpendi makonda.

natakajua ni yapi kafanya huyu kijana maana mpaka rahsi kumsifia niktu kkubwa hasa raisnjembe kama magufuri.

tafadhari
Katatua mgogoro mkali wa ardhi Madale.
 
Back
Top Bottom