Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Kweli kabisa,naona Rais kampaishaaaa alianza kwa kumsifia kwamba ukipanda cheo wasije kukushangaa.Akapigilia msumari kuwa Makonda ameshajihakikishia haina mjadala.
 
Anaendana na kasi ya JPM tht's why. ila nina wasiwasi na Sadiki maana kaambiwa Ole wake!
 
Ingawa siipendi sisiem, lakini kiukweli Makonda ameonyesha uwezo wa kua kiongozi bora na sio bora kiongozi.
Kuna siku nikilikua nimekaa mahali na washkaji tunasogoa, na hapo ndipo ilipokuja issue ya jinsi kinaja Makonda anavyo iongoza wilaya ya kinondoni. Aiseeee.....
Huyu kijana anajitahidi sana pasipo ubishi, na niseme kwamba kumbe Makonda hakupewa nafasi kipindi cha Jakaya
 
Mtamuelewa tu Mh Rais muda ukifika. Tanzania mpya haiko mbali. Tutaheshimu Serikali na Watanzania kwa ujumla.....na hapa siongelei wenye URAIA wa kupewa na kununua na wanaomiliki passport tatu tatu.
Kuna Jambo niliwahi kuongelea siku za nyuma kuhusu hawa jamaa (Wahindi na Warabu) wasivyoheshimu sheria na taratibu za nchi yetu...nikasema SISI WATANZANIA ASILIA HATUNA SEHEMU YA KWENDA HAPA PAKIHARIBIKA. Na Leo Mh Rais amesema Yale Yale . Tuwe wazalendo ndugu zangu. Nchi yetu sio maskini Kama tunavyoamini. Kuna watu wachache wametufikisha hapa, kwa kutugawanya Kiitikadi,Kidini na UKANDA ili watutawale vizuri.
 
Dhahabu hata ikichomwa kwenye moto lakin itang'ara tu. Kuna watu walimponda sana makonda,walimtoa picha za kumdhalilisha, lakn kama ipo ipo tu. Makonda ni makin kuliko hata lowasa na genge lake la wafu.

Kwa kasi hii ya magufuli makonda anamudu ipasavyo
 
Hongera Thana Makonda Una leadership skills

Alizionyesha Tokea Akiwa University Hivyo Tunaomjua Hatushangai Na Labda Tu Kwa Jitihada Ambazo Amekuwa Akizifanya Hasa Katika Wilaya Niishiyo Ya KINONDONI Tungeshangaa Kama Mheshimiwa Rais Dr. MAGUFULI Asingempandisha Cheo. Paul Makonda Ni MTENDAJI KIJANA ALIYETUKUKA Na Pengine It's High Time We Youths Especially To Emulate Him In Our Managerial And Leadership Positions. Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Mpo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom