Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

CCM mnaijua wenyewe, hakuna cha maana alichowahi kukifanya Makonda katika nchi hii, sana sana hivyo vyeo amepewa kama fadhila na chama baada ya "kukitumikia" kama wenyewe wanavyotaka, kutukana viongozi wasiopendwa na chama na kumpiga Mzee Warioba.
 
Jamani mlioko wilaya ya Kinondoni twambieni huyo Makonda anafanya kazi gani iliyotukuka kiasi cha kupewa chapuo?
 
Jamani mlioko wilaya ya Kinondoni twambieni huyo Makonda anafanya kazi gani iliyotukuka kiasi cha kupewa chapuo?

Niwape Kahistoria, Kidogo, Miaka ya Nyuma, 1995, Kuna RPC wa Kilimanjaro aliyekuwa akiitwa Omari Mahita Huyu alihusika sana Kuwapiga Mabomu hasa NCCR Mageuzi, Nusu awatoe Ubongo akina Mrema na Akina Masumbuko Lamwai. Aliposhinda tu Mkapa akampandisha Cheo na Kumfanya Mkuu wa Polisi IGP. Nchi nzima.

Makonda ametumiwa sana Na CCM Kiuzandiki, a) Kumtukana Lowassa na Kunzulia, b) Kumfanyia Fujo Warioba c) Kumfanyia Ubabe Saed Kubenea ambaye CCM Walikuwa na Bifu naye Muda Mrefu. d) Bila Kusahau kuhusika kwa sakata la Kudandia Ugomvi wa Gwajima na Pengo, Haya Ndiyo hasa yanayomfanya Magufuli Kuahidi Kumpa Cheo Makonda. Huu Ni Mkakati wa CCM, Na Kama wanataka Kumpa Ukuu wa Mkoa watampa Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam ili wamtumie Kuvuruga Utawala wa Jiji Ulio chini ya UKAWA.

Hii hasa Ndio Kiini cha Kupewa sifa na Mkuu.

Kwenye Mkutano wa CCM Naweza Kuhisi Uliimbwa Wimbo huu!

(Magufuli) Tumtume Nani
(Kikwete) Mtume Makonda, Mtume Bwana
(Magufuli) Tumtume Nani
(CCM) Mtumeni Makonda Mtume Bwana,
Atakwenda Kuvuruga Madiwani wa Ukawa,
Atakwenda Kutukana Wabunge wa Ukawa,
Atakwenda Kutumia Rungu La Kidola
Mtume Makonda Mtume Bwana

Atakwenda Finyafinya Wadau wa Ukawa
Atakwenda Tisha tisha Madiwani wote
Amekuwa ni yu tayari kusema lolote
Amekuwa Ni Jasiri kutusi yeyote
Mtume Makonda Mtume Bwana.
 
Jamani mlioko wilaya ya Kinondoni twambieni huyo Makonda anafanya kazi gani iliyotukuka kiasi cha kupewa chapuo?

Kumtukana Lowassa
Kumdhalilisha Kubenea
Kumfanyia Fujo Warioba
Kufanana fanana Na Mzee Nanii Kwa Kupenda Kujitangaza na Kujikweza, Upo Mzee wangu.
Nahisi Atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Kwenye Wabunge na Mamayor wa UKAWA
 
Na hapo ealiomchagua kubenea Nina wasiwasi nao walimchagua kwa upepo tuu kama ilivoyokea mwanza ilemela 2010 walipomchagua h.kiwiya... Huu ushabiki wa hivo huwa unaingiza bungeni watu wa ovyo kama kubenea
 
hivi kati ya mbunge ni yupi mwenye cheo kikubwa na mshahara mkubwa?nataka kujua.
 
Hivi kati ya mbunge ,mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa nani ana cheo kikubwa na mshahara mkubwa?nataka kujua
 
Kumtukana Lowassa
Kumdhalilisha Kubenea
Kumfanyia Fujo Warioba
Kufanana fanana Na Mzee Nanii Kwa Kupenda Kujitangaza na Kujikweza, Upo Mzee wangu.
Nahisi Atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Kwenye Wabunge na Mamayor wa UKAWA
Kweli kwa kazi hizo anastahili kupewa sifa! Vip hali ya usalama Kinondoni kwa sasa ikoje? Wale vibaka na wezi wa Mwananyamala Komakoma/kwa mama zakaria/Tandale kwa tumbo/kwa bi nyau/Kigogo kifa/ n.k ameshawamaliza? Maana yeye ndo anahusika na masuala ya ulinzi na usalama...........Au anapewa sifa za bure!
 
Kumtukana Lowassa
Kumdhalilisha Kubenea
Kumfanyia Fujo Warioba
Kufanana fanana Na Mzee Nanii Kwa Kupenda Kujitangaza na Kujikweza, Upo Mzee wangu.
Nahisi Atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Kwenye Wabunge na Mamayor wa UKAWA
Kama ni ukuu wa mkoa Dar basi fedheha it's mpata. Kamshindwa Kubenea pekee ndio atawaweza akina Waitara,Mdee Nk kwa umoja wao? Kama anapewa ukuu huo kama mkakati basi kashindwa kabla ya kuanza
 
MKUU MPYA WA MKOA WA DSM AJAE MAKONDAKTA! KUMBE KUMPIGA WAZIRI MKUU MSTAAF, NA KUMKASHIFU MH LOWASSA HAPO NDO KAZI YAKE ILIPOONEKANA! CCM NI WAPUUZI MNO! Mmptuuuuu!!!
Kaka mkubwa magazeti ya kina Kubenea yamekupoteza kabisa, unashindwa hata kuongea mambo unayoweza kuyathibitisha.
 
Sifa anazopewa leo Makonda zina historia zaidi ya kazi zake akiwa DC, msingi wake umejengeka kwenye mapambano makali ya siasa za moja kwa moja hata kabla ya bunge la katiba! Huwezi kutenganisha juhudi zake na uwepo wa JPM ikulu leo!
 
Yaani watu wanasifia upuuzi pasipo kufikiria kwa makini katika utawala huu Magufuli anawabeba na kuwasifia wale wote waliomsema vibaya Lowasa na kuwaadhibu wale wote waliokuwa wakimsifia na kumsupport Lowasa kwa hiyo Makonda, Nape na Mpanju wananufaika na kauli zao mbaya na za kuudhi juu ya Lowasa.
Hujielewi mkuu....katafute mawio lililotoa picha ikisema makonda anamfunga riz 1 viatu, itakufariji sana...
 
Wa Tanzania tumekuwa watu wanafiki sana. Kwa kauli ninazosoma humu, kulinganisha na nyuzi za mwanzo juu ya Makonda, naona taifa la watu wanaondeshwa kwa mihemko na wanaopenda kutoa majibu rahisi kwa kila swali.
Hata JPM afanyeje, kwa mentality za hivi hakuna maendeleo nchi hii.
UKAWA ni watu wajinga sana,,, samahan kusema hivyo ila imenilazimu, leo hii hawana la kusema juu ya makonda
 
Back
Top Bottom