Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

Nimewahi sema kwa kum-quote bavicha mmoja humu jf kuwa Makonda anaenda kuwa mkuu wa mkoa kutokana na uchapa kazi wake, bavicha wakavimba kisa kumtetea Kubenea na eti anatumia sheria vibaya ya kusweka maafisa ardhi mdani, HAYA SASA, hayawi hayawi, jamaa ndo huyooo anapanda ngazi tena bila ya upendeleo, tumemuona akipiga kazi.
Tena abaki hapa hapa Dar.
 
Sidhani kama Kubenea anaweza kuugua sababu ya makonda,kwasababu yeye kachaguliwa na wananchi wakati Makonda anapewa viti maalum.
Kupitia kupiga brush viatu vya Riz1. Na yeye mwenyewe kakiri mahakamani kuwa hajui vigezo vya kuchaguliwa kwake.
 
Binadamu bwana kamwe huwezi kuwaridhisha Makonda huyu mlikua mnakosoa leo mnamsifia
mkuu....
nikweli Makonda alikua akikosolewa kwa mambo kadhaa au kashfa ambazo zikimsibu, lakini kuna jambo ambalo limejificha sana kuhusiana na sakata la makonda kumpiga mzee Warioba, na kumbuka media nyingi zilinasa picha wakati makonda akimvuta mzee Sinde kwaajili ya kumuondoa katika eneo la tukio.
Now........
Kwakua waTz wengi tunakua ahatuna namna ya kupata ukweli wa kuhusu ahabari nyingi au matukio kadhaa, hii hutupelekea kuamini kile kinachokua kimeandikwa kwa mara ya kwanza.
Hili jambo Makonda amewahi kulizungumzia marakadhaa akihojiwa kuhusu tukio la kumpiga Mzee Warioba, pengine kwakua wengi wetu tumekua watu wa kujadili mambo kwa mihemko kutokana na habari za kwanza.

Mimi nashangaa pia hii drastic change hakika wtz ni watu wagumu kuwaelewa...!
 
Ingawa siipendi sisiem, lakini kiukweli Makonda ameonyesha uwezo wa kua kiongozi bora na sio bora kiongozi.
Kuna siku nikilikua nimekaa mahali na washkaji tunasogoa, na hapo ndipo ilipokuja issue ya jinsi kinaja Makonda anavyo iongoza wilaya ya kinondoni. Aiseeee.....
Huyu kijana anajitahidi sana pasipo ubishi, na niseme kwamba kumbe Makonda hakupewa nafasi kipindi cha Jakaya
Unazungumzia kinondoni star search au?
 
Me nabandika maharage yangu jikoni yataiva nitakula kama Jana na juzi Tanzania Ni ile ile tuu
 
Huyu Rais inaonekana anaweza kumpandisha mtu cheo papo kwa papo kama vile ambavyo alivyowagawia hela mahakimu!
 
Tukiacha siasa na ushabiki.. Kijana mwenzetu anapiga kazi! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.. Tunaona ni kwa jinsi gani anavyokomaa kuhakikisha anaendana na kasi ya Muheshimiwa.. Raisi JPM..
Hatukatai ila Naye analo la kujifunza .. mimi na mkubali sana isipokuwa ni kimkumbuka mzee warioba basi tena.
 
Nadhan kubenea leo ataumwa na homa ya agafla kusikia makonda alivyosifiwa na rais
Kwani kuna ajabu gani, mtu kusifiwa na rais? Kwa mtizamo wake anayohaki ya kufanya hivo. Tusubiri tuone kama hiyo episode ya masifa itaendeleaje?
 
Back
Top Bottom