Makonda Wewe, na nahisi Kuwa Unaweza Kuwa wewe ndiwe mwandishi wa Uzi huu, Wewe Kwangu ni Mwanasiasa Mchafu, Kibaraka Mchumia tumbo, anayejipendekeza. Nilisema wewe ni Kama Kunguni na Hakuna Tofauti yoyote wakati ule na leo. Kunguni akitaka damu, Atakunywa ya Mtu yeyote, Mtu mzima, Kichanga, hata ya Mwenye Ukimwi atakunywa Majuto baadaye. Ndivyo walivyo wanasiasa wachafu aina ya Makonda. 1) Wanajikweza, 2) Wanavuka madaraka yao(go out of their mandate) 3) Wanajitangaza Kwa Kila walifanyalo liwe dogo, kubwa, la Upuuzi, watajitangaza. 4) Wako tayari Kutumika na wengine (Ukibaraka) 5) Wanapenda sana Kuchafua wengine. 6) Wanapenda sana Kutumia Kila wawezalo Kukandamiza au kuwekea Kauzibe wengine. 7) Ni washirikina 8) Lolote walifanyalo, hata ikiwa ni kwa jamii end result in Kujipromote wao. 9) Kamwe, Asilani, hawafanyi chochote bila faida yao kisiasa. 10) Kwa Kukosa Lugha nzuri, Wanajifanya sanaaa, Wanajitia sanaaa. Ndio Maana Kwa Lugha Moja Nawaita KUNGUNI, Kuokoa wino wangu na Muda wenu! Kama Huyu sii Makonda Niambieni!
Mpuuzi anazunguka na Askari kila aendako, Utadhani Mkuu wa Nchi, Kumbe Ni Kimkuu cha Wilaya Kinachojikweza. Hii Ndio Kuchapa Kazi au Kujiuza? please hivi Africa tumeingiwa na "Mdudu gani"