Sina tatizo na hilo Mkuu ,ila awe na adabu asitupigie wazee wetu vibao tena ,Amfuate Mwigulu amfundishe alitumia njia gani kujirudi ,Mwigulu sasa namwona ni mtu wa kutumainiwa tofauti na zamaniAlizionyesha Tokea Akiwa University Hivyo Tunaomjua Hatushangai Na Labda Tu Kwa Jitihada Ambazo Amekuwa Akizifanya Hasa Katika Wilaya Niishiyo Ya KINONDONI Tungeshangaa Kama Mheshimiwa Rais Dr. MAGUFULI Asingempandisha Cheo. Paul Makonda Ni MTENDAJI KIJANA ALIYETUKUKA Na Pengine It's High Time We Youths Especially To Emulate Him In Our Managerial And Leadership Positions. Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Mpo?
Sidhani kama Kubenea anaweza kuugua sababu ya makonda,kwasababu yeye kachaguliwa na wananchi wakati Makonda anapewa viti maalum.
no logic kubenea anamjua makonda kuliko unavyodhani ni sawa na kupiga ngumi ukutani ............subiria nani ataugua homa kati ya makonda na kubenea .Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.
Nadhani leo Mbunge wa Ubungo (Mh Kubenea) ataugua homa...
Indeed ! Mh Rais anapenda watu wabunifu na wenye bidii!He deserve it
Aletwe huku kwetu kwanza apate uzoefu ndio aende hiyo mikoa mikubwaDar au Mwanza vinamsubiri
Unadhani watanzania sio wazalendo? Tatizo nihao watawala wanawatangazia watu NCHI maskini lkn wao na watoto wao wanajificha kwenye Magari ya 500ml then unaniambia niwe mzalendo HAIWEZEKANI?,,,ingawa bado mapema lkn MAGUFULI anaonekana anamaanisha akifanya namna hii kwa Vitendo hakuna MTU atakaehamasishwa Kuwa mzalendo MTU mwenyewe anaguswa....tu...Mtamuelewa tu Mh Rais muda ukifika. Tanzania mpya haiko mbali. Tutaheshimu Serikali na Watanzania kwa ujumla.....na hapa siongelei wenye URAIA wa kupewa na kununua na wanaomiliki passport tatu tatu.
Kuna Jambo niliwahi kuongelea siku za nyuma kuhusu hawa jamaa (Wahindi na Warabu) wasivyoheshimu sheria na taratibu za nchi yetu...nikasema SISI WATANZANIA ASILIA HATUNA SEHEMU YA KWENDA HAPA PAKIHARIBIKA. Na Leo Mh Rais amesema Yale Yale . Tuwe wazalendo ndugu zangu. Nchi yetu sio maskini Kama tunavyoamini. Kuna watu wachache wametufikisha hapa, kwa kutugawanya Kiitikadi,Kidini na UKANDA ili watutawale vizuri.
Alizionyesha Tokea Akiwa University Hivyo Tunaomjua Hatushangai Na Labda Tu Kwa Jitihada Ambazo Amekuwa Akizifanya Hasa Katika Wilaya Niishiyo Ya KINONDONI Tungeshangaa Kama Mheshimiwa Rais Dr. MAGUFULI Asingempandisha Cheo. Paul Makonda Ni MTENDAJI KIJANA ALIYETUKUKA Na Pengine It's High Time We Youths Especially To Emulate Him In Our Managerial And Leadership Positions. Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Mpo?
Jamani hizi sifa mbona msizitoe kabla rais hajasema tuache unafki
Mtamuelewa tu Mh Rais muda ukifika. Tanzania mpya haiko mbali. Tutaheshimu Serikali na Watanzania kwa ujumla.....na hapa siongelei wenye URAIA wa kupewa na kununua na wanaomiliki passport tatu tatu.
Kuna Jambo niliwahi kuongelea siku za nyuma kuhusu hawa jamaa (Wahindi na Warabu) wasivyoheshimu sheria na taratibu za nchi yetu...nikasema SISI WATANZANIA ASILIA HATUNA SEHEMU YA KWENDA HAPA PAKIHARIBIKA. Na Leo Mh Rais amesema Yale Yale . Tuwe wazalendo ndugu zangu. Nchi yetu sio maskini Kama tunavyoamini. Kuna watu wachache wametufikisha hapa, kwa kutugawanya Kiitikadi,Kidini na UKANDA ili watutawale vizuri.
Tafuta Thread za kuhusu Makonda uone Mwana alivyocomment! Haina haja ya kuandikia mate na wino upo!Jamani hizi sifa mbona msizitoe kabla rais hajasema tuache unafki