Na Labda Inawezeana Shule Yako Ni Ndogo Hivyo Huelewi Mambo Ila Tumeshakusamehe. Ni Kwamba Popote Pale Duniani Kiuongozi Mtu Anayeteuliwa Na Rais ( Executive ) Kushika Nafasi Yoyote Kwa Mfano Hapa Kwetu Nchini Tanzania Hasa Ya DC au RC au AMBASSADOR Huwa Ana HADHI Kubwa Na Ya Juu Kuliko Hata Mbunge. Na Kwa Kumalizia Tu Ili Nidhihirishe UPOPOMA Wako Ni Kwamba Nakuachia Swali Ambalo Nataka Unijibu Haraka Upesi Sana Kwamba Mkuu Wa Wilaya Nzima Na Mbunge Wa Jimbo Lililopo Ndani Ya Hiyo Wilaya Nani Ni Mkubwa? Sometimes Muwe Mnaficha Udhaifu Wenu Wa KUFIKIRI.