Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!
Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hiv. Wananchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?