Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.

This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!

Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hiv. Wananchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?
Acheni uchonganishi...Mwenezi anaonyesha wazi malalamiko ya raia, so serikali inatakiwa ijitathmini maana chama kilichoiweka hiyo serikali inaonyesha jinsi watendaji ambao wengine siyo wanachama wanavyotenda ndivyo sivyo.
 
Yani Sasa hivi Makonda ndio kila kitu. Rais , Waziri Mkuu na Jaji Mkuu. Ila hii serikali Ina shida kubwa sana.
Amewashika pabaya nyie Lia lia msiojia mnatafuta nini katika maisha

Agenda zenu za kulaghai raia zime buma
 
Rais Ajaye, ni yule mnayemuita SUKUMA Gang !!.

Makonda atatufaa kwakua ana Mamlaka , Ana nguvu, ana ushawishi, na mvuto wa kuzaliwa , , ana nguvu katika ulimi wake, na jasiri .

Mpina ni mzuri Kiutendaji ,atatusaidia sana Kujua Gaps .

Ukweli ni Kua, Ukiona Wananchi wanaamua kumuona Makonda kama Mkombozi, wao, basi ufahamu ya kua Wananchi wamehangaika kuanzia Kwa DC, RC, Polis, mahakama, kote huko wamekoswa utatuzi wa mambo Yao, na badala yake WAMEAMUA KUKIMBILIA KICHWA CHA MAKONDA, MAGUFULI WA PILI !!.

NITASIMAMA NA MAKONDA HADI UKAMILIFU WA DAHARI.
 
Jamaa
Samia ndio raisi. Upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya Uhaini na kutaka kupindua nchi.
Usiseme hujaambiwa.
Jamaa anazungumzia rais, wewe unasema raisi- quite different! Anyway, hiyo ni typing error. Ila kuna rais wa nchi, rais wa kampuni, rais wa kikundi fulani etc.
 
Samia ndio raisi. Upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya Uhaini na kutaka kupindua nchi.
Usiseme hujaambiwa.
Halafu utakuta watu waoga kama wewe ndio wapiga kura wa nchi hii, watu mnaodhani ukimpigia kura mtu fulani utafunguliwa kesi ya uhaini. Tutabadilika kweli? Hujui kuwa hata wapiga debe wanaweza kuwa na raisi hapa Tanzania?
 
Wananch hawana uelew wa wapi wapeleke malalamiko yao ivo akitokea ata mtu yyte ana msafara kama makonda na anabwabwaja bas si wajua ukiw na shida unaona utasaidika pengne, sabu kama kiongoz mkubwa wake hamkanyi wananch inabid waone uyu ni msaada
Huyo ni sawa na wale wasemao."Pokea gari, pokea nyumba" ki uhalisia hutapokea chochote.cha ajabu watu wanazidi kulundikana kwa mhubiri wa pokea nyumba, pokea mme, pokea mke....
 
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.

This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!

Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hiv. Wananchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?
Hayo ni maoni yako kutegemea na upande ulioko!
Lakini watanzania wengi tuna imani na Makonda
 
Ukiskiza mtindo anaoufny kondacta ukwel n kwamb anataftia kura mama sababu akiw kwenye ayo magenge ya vikao vya kihuni haish kumtaja mama kuusu kugombea 2025 . Kwaiyo kondacta ametumwa kufanya ayo na mama ilo lipo wazi wala hawana ugomv ni mpango wa mama kujfanyia kampen ili mwakan ajihajikishie kampen zake kua nyepes. Mwenye macho haambiw ona
 
Mpuuzi huyu, muache kwanza hajitambui!
Saa chelewa inapitishwa kwenye kishimo na kupekechwa utakuwa unawajibu polisi hivyo.
Usalama wa nchi hauchezewagi ndio maana kama hujui hata wapinzani wataongea mambo yote ila hata sikumoja hujawai kusikia wanasema flani ni raisi, hata kama hawatambui matokeo ila hawataji flani, sasa wewe na SUKUMA GANG endeleeni.
 
Ukiskiza mtindo anaoufny kondacta ukwel n kwamb anataftia kula mama sababu akiw kwenye ayo magenge ya vikao vya kihuni haish kumtaja mama kuusu kugombea 2025 . Kwaiyo kondacta ametumwa kufanya ayo na mama ilo lipo wazi wala hawana ugomv ni mpango wa mama kujfanyia kampen ili mwakan ajihajikishie kampen zake kua nyepes. Mwenye macho haambiw ona
Mama hana shida,, shida ni yale makundi ya ulaji
 
Kazi kweli kweli.

Kipindi cha nyuma tulidhani wananchi waliopeleka malalamiko yao kwa Hayat Rais wanafanya kwa nia njema- Kuumbe.
 
Acheni uchonganishi...Mwenezi anaonyesha wazi malalamiko ya raia, so serikali inatakiwa ijitathmini maana chama kilichoiweka hiyo serikali inaonyesha jinsi watendaji ambao wengine siyo wanachama wanavyotenda ndivyo sivyo.
Kasema Chama kipo juu ya Serikali, hivyo mwambieni aiondoshe serikali maana imefeli , chama kiongoze.
Ndio utakuja kumwelewa Gwajima alipokuwa anamuita BASHITE, zero!
 
Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia kicheo ni Jaji, yaani alikuwa mwanasheria wa SErikali, akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye hiyo nafasi na akarudishwa ofisi ya AG ila kwakuwa alikuwa na cheo ilibidi apewe uanasheria mkuu ambaye ndio Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.

This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.
Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!

Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hiv. Wananchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?
Leo Kakonko huko Makonda anamuita meneja wa TANESCO ana kesi , tena ya Ndoa ambazo mahakamani husikilizwa kwa siri[in camera] mbele ya umati anamwambia mume amkumbatie mke.
Anajaribu kuigiza kusuluhisha wakati kesi ilisuluhishwa kanisani ikashindikana, ikasuluhishwa Baraza la Kata ikashindikana [Baraza la Kata ndio lenye mamlaka kusuluhisha na siyo Makonda, BAKWATA, TAG wala TEC, KATOLIKI wala Lutheran].
Mume anamwambia kesi ipo mahakamani na wamepewa order ya separation Bashite anangangania wapatane alafu wakafute kesi.
Makonda anazidi kuambiwa na meneja kwamba jamaa anaheshimu maamuzi ya mahakama ila yeye anaendelea kusema warudiane, hivi huyu kijana sijui mtoto anafahamu matatizo/migogoro ya ndoa?
 
Huyu lile kalio linumuwasha sana
 
Sheria za nchi hii hazifanyi kazi hata sekta ya sheria imejaa rushwa na inakandamiza wasio na uwezo na inawalinda walionacho.mamshangaa sana Feleshi kwa kuwa yeye ni sehemu ya matatizo ktk sekta ya sheria halafu anaongea utumbo.mwacheni Makonda awavue nguo
 
Leo Kakonko huko Makonda anamuita meneja wa TANESCO ana kesi , tena ya Ndoa ambazo mahakamani husikilizwa kwa siri[in camera] mbele ya umati anamwambia mume amkumbatie mke.
Anajaribu kuigiza kusuluhisha wakati kesi ilisuluhishwa kanisani ikashindikana, ikasuluhishwa Baraza la Kata ikashindikana [Baraza la Kata ndio lenye mamlaka kusuluhisha na siyo Makonda, BAKWATA, TAG wala TEC, KATOLIKI wala Lutheran].
Mume anamwambia kesi ipo mahakamani na wamepewa order ya separation Bashite anangangania wapatane alafu wakafute kesi.
Makonda anazidi kuambiwa na meneja kwamba jamaa anaheshimu maamuzi ya mahakama ila yeye anaendelea kusema warudiane, hivi huyu kijana sijui mtoto anafahamu matatizo/migogoro ya ndoa?
Anatukumbusha issue iliyowahi kumshinda ya wanawake waliotelekezewa watoto. Nashangaa sana anapowakemea ma-RPC hadharani mbele ya raia. Huu ni utamadumi mpya tunaoujenga, nafikiri kama chama cha siasa kinaweza kutatua kero za wanachi hadharani kwa staili hiyo, basi chama hicho kijigeuze kuwa serikali, na kamwe kero za mtu mmoja mmoja haziwezi kuisha!
 
Well said, kama mfumo umefeli na yeye ana mamlaka ya kuamrisha Watendaji, wavunje hiyo mahakama kwa kumtimua Jaji mkuu na wenzake ambao wameongezewa mikataba baada ya kufika umri wa kustaafu.
anamuaibisha Feleshi ambapo MWANASHERA MKUU[FELESHI ] ndio mshauri mkuu wa Serikali, sasa swali ni Je, Ina maana Feleshi hajaishauri Ikulu kwamba huyu mtu hana mamlaka kwa anayoyafanya ama mshauri wa kisheria amepuuzwa?
 
Back
Top Bottom