Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

Kachambua sawasawa. Tatizo halitatuliwi na mtu. Tatizo linatatuliwa na taasisi imara zenye raslimali fedha watu na zenye weledi na maadili yanayotakiwa. Vituo hivyo kulitafutia ufumbuzi tatizo hilo. Vizingatie sifa zinazohitajika kuzifanikisha.
Kama izo taasis hazina maadili hazwez tatua matatizo ndipo apo watu huona makonda ni bomba
 
Makonda yupo sahihi kwa 100%
Kwa sababu hiii;

1. Anajua kuwa ccm inamtumia hasa kuivuta kanda ya ziwa ili ccm ivuke salama 2024.

2. Naye Makonda snaitumia ccm kujijenga.

3. Anajua fika hatatui shida za wananchi bali anaigiza.

Concl: ccm na Makonda wote wanatumiana kila mmoja kufikia malengo
Uko sahihi 100%
 
makondakta kasema yeye ndo anatafuta kura, kwa hiyo kimtu cha serikali hakiwezi kujibaraguza huko kwenye AC kukataa kuhojiwa naye....kwa maana nyingine konda na fisiemu yake wako juu ya dola.​
 
Kama izo taasis hazina maadili hazwez tatua matatizo ndipo apo watu huona makonda ni bomba
Maamuzi ya Makonda yanaweza kupita maamuzi ya mahakama?
Makonda anaweza kumrudisha kazini yule mwalimu aliyesema aliondolew kwa vyeti feki kwa bahati mbaya?
 
Makonda anabwabwaja tu lakn hana msaada wwte kwa raia mtu timamu haez mfata kumueleza madai yake
Anajua hilo ila anakusanya wasukuma wasio jielewa, alipokwend aKilimanjaro ilibidi kulipa watu na kusomba watu toka wilaya zote na akaishi kuhutubia watu kwamba ameenda ili alale kwenye hekalu la Mbowe huko Machame.

Mbaya zaidi hajui kwamba wachagga kwao nyumba kama ile ni kitu ya kawaida!
 
Maamuzi ya Makonda yanaweza kupita maamuzi ya mahakama?
Makonda anaweza kumrudisha kazini yule mwalimu aliyesema aliondolew kwa vyeti feki kwa bahati mbaya?
Hayawez ila kuna namna fulan wahusk wa tatzo watapew maelekezo watatue hatak kitu ambach ata ikifk mahakaman itazuia mwanya wa rushw mkuu, mahakama ni watu co manabii
 
Hayawez ila kuna namna fulan wahusk wa tatzo watapew maelekezo watatue hatak kitu ambach ata ikifk mahakaman itazuia mwanya wa rushw mkuu, mahakama ni watu co manabii
Kwahiyo kesi za CHADEMA na Covid -19 huwa kuna maelekezo?
Kwahiyo,mnaposema mama mitano tena huwa mnamwambia kuwa mahakama imeoza?
 
Kwahiyo kesi za CHADEMA na Covid -19 huwa kuna maelekezo?
Kwahiyo,mnaposema mama mitano tena huwa mnamwambia kuwa mahakama imeoza?
Kumbuka wale ni wanajua sheria, hapa tunazungumzia mwananch wa tandaimba bibi kizee ambae shamba lake kapew mwekezaj na kaenda ad wilayan haambiw nn afanye anaishia kuambiw co eneo lako na hapew fidia yyte
 
Kazi ya Usalama ni issue za Rusha?
PCCB si ndio kazi yake?
Mkiambiwa msome hata darasa la nne mjue kupambanua mambo hamtaki ndio maana mtu anayetakiwa kukitangaza chama-sera za chama anachukua mamlaka ya Majaliwa.

Jisomee sheria ya usalama wa TAIFA uje kufuta ulichoandika.
Ctak kukujua kasome wew mkuu
 
Anajua hilo ila anakusanya wasukuma wasio jielewa, alipokwend aKilimanjaro ilibidi kulipa watu na kusomba watu toka wilaya zote na akaishi kuhutubia watu kwamba ameenda ili alale kwenye hekalu la Mbowe huko Machame.

Mbaya zaidi hajui kwamba wachagga kwao nyumba kama ile ni kitu ya kawaida!
Msoga kazi mnayo hadi 2025
 
Back
Top Bottom