Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,979
- 26,083
- Thread starter
- #101
Ila kweli, level ya literacy ipo chini sana.Wananch hawana uelew wa wapi wapeleke malalamiko yao ivo akitokea ata mtu yyte ana msafara kama makonda na anabwabwaja bas si wajua ukiw na shida unaona utasaidika pengne, sabu kama kiongoz mkubwa wake hamkanyi wananch inabid waone uyu ni msaada
Wanchi wengine wanapeleka misikitini, wengine wanaloga, wengine kwa mahakama, wengine kesi za kiraia wanapeleka polisi yaani kwa ujumla sisi ni kati ya nchi zisizojielewa kabisa duniani.