balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,699
- 15,435
Usimtishe bana.Samia ndio raisi. Upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya Uhaini na kutaka kupindua nchi.
Usiseme hujaambiwa.
Usimtishe bana.Samia ndio raisi. Upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya Uhaini na kutaka kupindua nchi.
Usiseme hujaambiwa.
Ni kweli ata bob junior alijita rais wa wasafHajasema raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mahakama zipi? Hizi hizi za ccm?View attachment 2890894
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!
Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hiv. Wananchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?
Wananchi wanaona mahakamani mizinguo kibao hawapewi haki zao that's why wanaenda kulialia kule kutema nyongo zao kuwasemelea kua pamoja na kwamba wameenda mahakamani Ila mahakama haijawapa MSAADA walioutarajia kuna yule Mama Mchimbaji alieporwa million 19 na polisi ameenda mahakamani mara 4 na kesi yake inarushwarushwa TU haki hapewi na mtuhumiwa yupo mahakimu wapo majaji wapo wanasheria wapo polisi wapo mtu anadhulumiwa sasa what's the hell is mahakama km watu hawapewi haki?Mahakama Ya Rufaa
Makonda mpiga zumari tu hasaidii chochote zaidi ya kupiga kelele tuWangekuwa wanawajibika kwa kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa haki huko serikali. Wananchi wasingekimbilia kwa Makonda.
Ni uozo uliopo huko ndio unafanya Makonda aonekane hope ya kuwasaidia.
Saaa makonda atamsaidia niniWananchi wanaona mahakamani mizinguo kibao hawapewi haki zao that's why wanaenda kulialia kule kutema nyongo zao kuwasemelea kua pamoja na kwamba wameenda mahakamani Ila mahakama haijawapa MSAADA walioutarajia kuna yule Mama Mchimbaji alieporwa million 19 na polisi ameenda mahakamani mara 4 na kesi yake inarushwarushwa TU haki hapewi na mtuhumiwa yupo mahakimu wapo majaji wapo wanasheria wapo polisi wapo mtu anadhulumiwa sasa what's the hell is mahakama km watu hawapewi haki?
HeheheeMakonda yupo sahihi kwa 100%
Kwa sababu hiii;
1. Anajua kuwa ccm inamtumia hasa kuivuta kanda ya ziwa ili ccm ivuke salama 2024.
2. Naye Makonda snaitumia ccm kujijenga.
3. Anajua fika hatatui shida za wananchi bali anaigiza.
Concl: ccm na Makonda wote wanatumiana kila mmoja kufikia malengo
Katema nyongo kusema kinachoendelea na Sisi tujue uozo unaofanyika huko, mtu hapewi haki yake sasa utaiamini vipi mahakama kwamba inatenda haki?Saaa makonda atamsaidia nini
Mjinga kama huyo wala usimjibu.kiazi wewe hata mie raisi wa magetoni kwangu
Uko sahihi kabisa. Lakini madhara yake yanaenda mbali. Ni kama kumwachia kichaa fanye atakavyo, ataharibu.Hizi ziara za Makonda kwangu naona ni nzuri maana inatusaidia kujua aina ya viongozi tulionao.Na kwa kweli tumepata jibu moja murua kwamba kuna ombwe kubwa mno la uongozi.Malalamiko mengi ni kuhusu udhalimu kila mahali.Ni ishara kwamba tumezungukwa na MADHALIMU,WALAFI,WAHUNI,WAZEMBE,WAVIVU,VIBURI kwenye nyanja zote zote za huduma.
Wananchi hawana uelewa!!Wananch hawana uelew wa wapi wapeleke malalamiko yao ivo akitokea ata mtu yyte ana msafara kama makonda na anabwabwaja bas si wajua ukiw na shida unaona utasaidika pengne, sabu kama kiongoz mkubwa wake hamkanyi wananch inabid waone uyu ni msaada
Wanaolalamika ni wanaccm, makonda ccm mahakama za ccm na Makonda....ccmKatema nyongo kusema kinachoendelea na Sisi tujue uozo unaofanyika huko, mtu hapewi haki yake sasa utaiamini vipi mahakama kwamba inatenda haki?
Haya uliyoorodhesha hata huyo Makonda hawezi kuyafanya. Ni maigizo tu.Huyo mwanasheria naye vipi, maahakamani yanapelekwa mashauri yanayohitaji mambo ya madai nk. Sasa huyu mwananchi anahitaji pembejeo hazijafika kwa wakati, mradi wa maji umejengwa haujaanza kazi, hakuna dawa kwenye zahanati, barabara mbovu nk aende mahakamani naye hiyo mahakama kesi zilizopo tu hawajamaliza anataka na haya?
Kama anataka na yeye afuatwe si apite na yeye barabarani au aende magerezani akasikilize wenye shida!!
Ikibid mahakama ziwe znahukum wanasiasa tu kesi za wananchi tuwape machifuWananchi wanaona mahakamani mizinguo kibao hawapewi haki zao that's why wanaenda kulialia kule kutema nyongo zao kuwasemelea kua pamoja na kwamba wameenda mahakamani Ila mahakama haijawapa MSAADA walioutarajia kuna yule Mama Mchimbaji alieporwa million 19 na polisi ameenda mahakamani mara 4 na kesi yake inarushwarushwa TU haki hapewi na mtuhumiwa yupo mahakimu wapo majaji wapo wanasheria wapo polisi wapo mtu anadhulumiwa sasa what's the hell is mahakama km watu hawapewi haki?