na kwa makondakta kusababisha kifo cha baba yao halafu anaenda kuwapa mikono ya KINAFIKI ndipo baba yao atafufuka? yule binti alimchunia makonda ili kufikisha ujumbe kwenye jamii kwamba UNAFIKI sio jambo zuri.Kwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
mkuu huoni kama upinzani umegeuka upande kuelekea kule ambako haukuwahi kuelekea siku za nyuma.Sawa CCM endeleeni na walevi wenu hamna haja ya kujitathimini.
Basi farijianeni kwa neno hilo,Kumbe ni binti!!!haina shida.kama wa kiume walimsalimia inatosha sana,maana ndio wazikaji..kwa jamii za kiafrika hii sio habari.
Penye ukweli acheni ukweli utawale. Hata kama unaumaSio sahihi kupinga mawazo ya mtu.
lakini marehemu alifanya makosa kweli ambayo Makonda alimjulisha rais?? kama alifanya makosa kweli basi makonda asilaumiwe alitimiza wajibu wake kufichua maovu hivo wewe na mimi tuendelee kufichua maovu bila wogaNilisema si busara Makonda kwenda msibani
Penye ukweli acheni ukweli utawale. Hata kama unauma
lakini marehemu alifanya makosa kweli ambayo Makonda alimjulisha rais?? kama alifanya makosa kweli basi makonda asilaumiwe alitimiza wajibu wake kufichua maovu hivo wewe na mimi tuendelee kufichua maovu bila woga
Makonda amesababishaje kifo cha Kabwe? Thibisha.na kwa makondakta kusababisha kifo cha baba yao halafu anaenda kuwapa mikono ya KINAFIKI ndipo baba yao atafufuka? yule binti alimchunia makonda ili kufikisha ujumbe kwenye jamii kwamba UNAFIKI sio jambo zuri.
kwa hio makonda alienda kwenye Msiba ili kugandamizia uchungu wafiwaJaman mambo mengine sio ya kupost humu, kwanza unapoandika vile ni dhahiri kuwa umefurahishwa na kitendo cha huyo binti, pia mi sioni kosa la makonda kusema makosa na ubadhilifu wa kabwe uliopelekea mpaka kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi, pia ieleweke kuwa kazi ya kutumikia umma huhitaji mhusika awe na uadilifu kwa umma.
Kabwe amefanya kazi kama mkurugenzi kwa mkoa wa mwanza, mbeya na dar lakini udhaifu mkubwa ulionekana ukiambatana na ubadhilifu, kusimamishwa kazi kusiwe sababu ya kumuona kuwa alikuwa mwema mno kiasi cha kumuona makonda kama kihelehele kwani naamini aliyafanya yote hayo kwa faida ya wanadaresalaam wote hata watanzania kwa ujumla.
Kila kifo kina sababu zake, kama inasemekana tayari alikuwa mgonjwa, je haikupaswa kumsimamisha kazi kisa mgonjwa kwa kuhofia atafariki? Tuacheni unafiki wa kuwa vigeugeu wasioeleweka, baadhi mlilalamika kuwa marehemu alikuwa tatzo leo tena lawama kwa makonda?
R.I.P KABWE
We ulijua hataenda? Hizo ni taratibu za kikazi na sio taarabu za viringeni,kwa hio makonda alienda kwenye Msiba ili kugandamizia uchungu wafiwa
Ujinga kabisa
Na mimi nina wasiwasi na uelewa wako kwani mhariri ndiye kamchunia Makonda au mhariri kaichora picha, we vipi.nina wasi wasi na elimu ya mhariri wa gazeti ili
Na kwenda kwake kumebadili nini kwa mfano?Wewe ndiyo mjinga kwahiyo wizi wake ulitaka aachwe tu au makonda asingeenda ndiyo angefufuka huyo mzee?
makonda asingeenda msibani, watu na magazeti bado tu wangetengeneza vichwa vya habari
Utu gani ambao wewe u azungumzia kwahiyo makonda asingeenda msibani ndiyo utu?,acha habari zako bana.Huko mimi sipo....mimi naongelea busara ya kawaida tu ya ki utu na kujali hisia za watu msibani