Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

Masuala ya kiofisi watu wanayachukulia personal, sasa walitaka ndugu yao asichukuliwe hatua za kinidhamu pindi anapokosea kazini? Kuna watu wanagapi wameumizwa kwa sababu ya mapungufu aliyoyafanya marehemu? Yatupasa tufike mahali tutofautishe mambo ya kikazi na mambo ya kibanfsi. Kujenga uswahiba kwenye mambo ya kazi ndiko kunakoliumiza taifa sasa hivi.

mambo ya Msiba ni ya kiofisi?

come n....Nani anajusika hasa na Msiba kati ya familia na huyo makonda? nani ameumia kwa Msiba zaidi?

achene kutetea watu ambao bado wachanga sana kwenye uongozi na hawana hekima
 
hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?

Ujumbe ni kwamba baadhi ya wanafamilia wa marehemu hamkubali mheshimiwa wa mkoa huu.
 
Yan huyu binti kajitahidi sana,,ningekua mm asingekanyaga mnafki mkubwa,,hvi kulikuwa na ulazima gani wa yeye kwenda msibani kama sio kutafuta kiki,,,makonda anapenda sana sifa
 
Katika maswala ya kikazi hakuna upendo wala chuki au kuleta mambo ya kihisia. Kabwe aliiba na kutumbuliwa ndio ilikuwa hatua stahiki, kuumizwa na kutumbuliwa na kupelekea kuumwa, hilo si sahihi na halina ushahidi maana hata wakati anatumbuliwa tayari alikuwa mgonjwa na alikuwa ametoka India kutibiwa, mengine ni visingizio na watu kutafuta kiki kwa kuona opportunity.
Kwa upande mwingine, si kosa kwa wanandugu kulihusisha swala la kifo cha Kabwe na kutumbuliwa ila pia ni dalili ya kutofahamu mambo, ambalo nalo si kosa vilevile maana kwa mtu mwenye uelewa, angetulia kutokana na unyeti wa swala la ubadhirifu alioufanya marehemu badala ya kujifanya unajua na kiburi kingi wakati hujui marehemu alipaswa kuchukuliwa hatua gani na utaguswa vipi. Kiburi na ujuaji bila kumdhuru mtu au kuvunja sheria, si kosa vile vile ingawa hauna faida kwa aneuonyesha.
 
sijaongelea issue ya marehemu alikuwaje...however he was...yule ana familia yake ambayo wote wanamthamini kama mzazi na ndugu yao...however he was

Msibani ni sehemu familia inapata fursa ya kumwomboleza ndugu yao

Sasa limtu linajibeba tu linaenda kama vile pale pia ni shughuli ya serikali...Upuuzi na kutotumia common sense

"Sasa limtu linajibeba tu linaenda kama vile pale pia ni shughuli ya serikali...Upuuzi na kutotumia common sense"
Hapo umeandika utumbo ambao miaka miwili baadae ukirudi kuusoma utajisikitia mwenyewe...grow up
 
hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?

Sio umbeya.....ni kwa mlengwa kutojua diplomasia ya uongozi.
Tayari alishasababisha maumivi kwa familia kwa kusababisha mzee wao kuhukumiwa bila ya kusikilizwa....yeye ndo chanzo...
Uamuzi ule wa darajani ni tayari amehukumiwa. ...kama alikua mgonjwa basi ...hakua na amani tena....
Sasa huyu makonda hakupaswa kwenda kuongeza chumvi kwenye kidonda...
Ningekua mimi ndo mtoto ningemtumia salam kuwa asije hatakiwi..
 
Katika maswala ya kikazi hakuna upendo wala chuki au kuleta mambo ya kihisia. Kabwe aliiba na kutumbuliwa ndio ilikuwa hatua stahiki, kuumizwa na kutumbuliwa na kupelekea kuumwa, hilo si sahihi na halina ushahidi maana hata wakati anatumbuliwa tayari alikuwa mgonjwa na alikuwa ametoka India kutibiwa, mengine ni visingizio na watu kutafuta kiki kwa kuona opportunity.
Kwa upande mwingine, si kosa kwa wanandugu kulihusisha swala la kifo cha Kabwe na kutumbuliwa ila pia ni dalili ya kutofahamu mambo, ambalo nalo si kosa vilevile maana kwa mtu mwenye uelewa, angetulia kutokana na unyeti wa swala la ubadhirifu alioufanya marehemu badala ya kujifanya unajua na kiburi kingi wakati hujui marehemu alipaswa kuchukuliwa hatua gani na utaguswa vipi. Kiburi na ujuaji bila kumdhuru mtu au kuvunja sheria, si kosa vile vile ingawa hauna faida kwa aneuonyesha.

so ...ulitaka makond apewe mkono ili iweje? who is he hadi iwe lazima apewe mkono? hasa katika shughuli ya mazishi..let say ya mzazi wangu
 
SASA KAMA BABA YAKE ALIKUWA MWIZI NDO ASITUMBULIWE HEBU ACHENI UPUMBAVU HUYO MAREHEMU KAIBA SANA PESA
mkuu hujasoma heading ya uzi? hapa hatuongelei UFISADI wa KABWE bali tunaongelea UNAFIKI na UTOTO wa MAKONDAKTA. umeelewa sasa? haya, rudia kutoa mchango wako upya.
 
Ukiwa ccm unajitoa fahamu ase,jamaa hana aibu kabisa
 
Sio umbeya.....ni kwa mlengwa kutojua diplomasia ya uongozi.
Tayari alishasababisha maumivi kwa familia kwa kusababisha mzee wao kuhukumiwa bila ya kusikilizwa....yeye ndo chanzo...
Uamuzi ule wa darajani ni tayari amehukumiwa. ...kama alikua mgonjwa basi ...hakua na amani tena....
Sasa huyu makonda hakupaswa kwenda kuongeza chumvi kwenye kidonda...
Ningekua mimi ndo mtoto ningemtumia salam kuwa asije hatakiwi..
washauli wahame mkoa maana huku dar hatufumbii macho wezi
 
Kwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
Mkuu kwa mfano watu wengi kwa bahatimbaya wakikanyagwa na kiatu cha mchongoko kikamtoa kidonda kitu cha kwanza atamtizama aliyemkanyaga kwa ghazabu wengine hudiliki kufonya,je ile ndo itamponya kidonda?Anachohisi anakua amepunguza dukuduku lake,kwakweli binti yupo sawa.
 
SASA KAMA BABA YAKE ALIKUWA MWIZI NDO ASITUMBULIWE HEBU ACHENI UPUMBAVU HUYO MAREHEMU KAIBA SANA PESA
mkuu hujasoma heading ya uzi? hapa hatuongelei UFISADI wa KABWE bali tunaongelea UNAFIKI na UTOTO wa MAKONDAKTA. umeelewa sasa? haya, rudia kutoa mchango wako upya.
 
Kwanza kabisa, yeye amekaa tofauti na wengine. Safi sana hapa ndo huwa nawapendaga watoto wa kike, huwa wako sensitive sana na wazazi wao hasa Baba zao, akichukia amechukia hakuna kumplease mtu.
Huyu Makonda asingeenda hapo, hajamuona mwenzake Magu ameingia mitin, afterall hii familia sidhan kama inahitaji msaada wowote kutoka serikalin.
 
wewe MLEVI unaweza kututhibitishia UFISADI wa kabwe pasipo kuacha SHAKA? mbona hajawahi kufikishwa mahakamani badala yake anahamishwa tu vituo vya kazi?
wewe MLEVI unaweza kututhibitishia UFISADI wa kabwe pasipo kuacha SHAKA? mbona hajawahi kufikishwa mahakamani badala yake anahamishwa tu vituo vya kazi?

Ccm inawatumia watumishi wa umma kama toilet paper.wamebaki akina kabwe wangapi huko kwenye halmashauri? Hongera sister kwa kumchunia.
 
Back
Top Bottom