Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
Mbona ujumbe uko wazi tu kama kusoma hujui angalia hata picha wamekuwekea.
 
Kiherehere cha Makonda alishauriwa asipeleke uso wake msibani lakini kwa kupenda sifa akaenda.

Hiyo ni aibu kwake na haifutiki kirahisi kama ile ya kumpiga Warioba.
 
sasa kwa kumchunia inasaidia nini?baba yake hakuwa muadilifu,hilo halina ubishi.kote alikopita alikuwa analaumiwa.angekuwa muungwana angemwambia baba yake aache ubadhilifu...kwanza hata makonda amefanya ubinadamu tu kwenda msibani.
 
Hapana...Lakini just fikiria kibinadamu mzazi wako ndio amefariki alafu anakuja mtu aliyeamua kuonesha chuki za wazi kabisa na mzazi wako...eti anajipendekeza msibani kuwa anajali

Huo ni ujinga na Unafiki

Pia kumbuka watoto wa kabwe pia wana maumivu
Ukijifunza kuwa hamna kitu ambacho mwanadamu ana zaidi ya kifo, basi hutokuwa na haja ya kumlaumu Makonda na kumnyima mkono
 
Kitendo cha yule msemaji wao wa kwanza kabla hawajamkana,tulijua hii habari imeingilia kisiasa na wao wamo ndani wanacheza ngoma ya kisiasa ,sasa gazeti la kisiasa limeleta tena umbeya wa kisiasa haya imejulikana makonda kachuniwa je si kweli kuwa baba yake hakusaini mikataba miwili UBT?
 
labada alikuwa na majonzi kupita kiasi
hata akashindwa kutoa mkono kwa mheshimiwa
si sahihi kufikiri kwamba alifanya makusudi.

msiba unahitaji uvumlivu kwa waliowahi kufiwa wataniunga mkono.
angalia wengine wamesiamama

ni yeye tu....

Kwani ilikuwa ni lazima makonda kwenda?
 
Ukijifunza kuwa hamna kitu ambacho mwanadamu ana zaidi ya kifo, basi hutokuwa na haja ya kumlaumu Makonda na kumnyima mkono

lakini kuwepo kwake pale kunaongeza maumivu ya familia......hasa kwa mambo aliyoyafanya hivi karibuni...kwani ilimshinda nini kumwacha mkuu wa wilaya aende akamwakilishe?
 
Ila ingekuwa vizuri asingeenda,mtoto wa marehemu angeweza hata kumshambulia na ingeonekana ni ghadhabu tu na sio kosa,sasa ni bora akuparuze na kucha utapona ingekuwaje kama angmetia kidole kwenye jicho na likatumbuka!!
 
Haya mambo ya Suarez na Patrice Evra yapo mpaka kwenye misiba...Tulizoea kuona kwenye mpira ligi z Ulaya
Ndio maana mambo ya kuajiliwa ni kama "Utumwa",Mzee Kabwe "alitumbuliwa" na Makonda mtoto wake kabisa wa kumzaa
Maana mwaka 1982 wakati Mzee Kabwe anaanza Chuo Kikuu akisomea Sheria,Bwana Mdogo Makonda alikuwa hajazaliwa kabisa,nafikiri hii ya Kabwe ni moja kati ya kumbukumbu "mbaya" ya Makonda ktk utumishi wake na maisha yake ya kiroho.Makonda ni "kijana" wa yule Pastor Ndegi wa Kawe.Kwa ulimwengu wa Roho,hii kitu ina nafasi yake,kama tu "dhamira ya kiroho" ya Makonda bado i hai.
makonda kazaliwa 1978
 
Yaani Makonda ni kiherehere kweli...sijui ni msukuma gani wa hivyo. Pamoja na kumsimanga mzee wa watu, lakini bado anajipeleka kwenye msiba? Halafu hiyo familia nayo ndiyo wanajipendekeza ili serikali isiendelee na uchunguzi wa ufisadi wa marehemu ama? Maana sielewi ni kwanini walimruhusu Makonda kufika na hadi kupewa muda wa kuongea!!
alipewa na Muda wa kuhutubia? sasa Aliongea nini?
 
Back
Top Bottom