Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,373
Akipoa na msiba atatambua kuwa "Masilahi ya Taifa mbele" ndio wanachotaka watanzania
MHESHIMIWA MAKONDA NAYE ASEMA HAYA
We brndera kwelibado mahakama ya mafisadi ikianza atafunguliwa mashitaka na familia itafilisiwa haiwezekani familia yako ikaishi kama ipo peponi kwa mali za wizi tena kudhulumu wanyonge.
Tatizo la Paul Makonda ni lipi? mtu kama anatuhumiwa asisemwe ? This is stupidity.
Asante kiongozi, hapo umewakilisha mawazo ya watu flani hapa!!.Akipoa na msiba atatambua kuwa "Masilahi ya Taifa mbele" ndio wanachotaka watanzania
Yani angeendelea kumwacha kabwe na uchafu wake sio? Aibu gani hii kwa taifa hili vijana wanajitoa ufahamu hivi?Yaani wewe mpaka sasa hujajua ni ujumbe gani uliopelekwa kwa jamii kwa hili sakata la makonda na marehemu Kabwe?! utakuwa mvivu wa kufikiri.. tafsri moja ndogo tu nikupe, hakuna aijuae kesho, Makonda angejua hili asingefanya alilofanya.
Maskini kumbe watu ufisadi wanauchukia midomoni tu?AIHAHAHAHA SAFI SANA
Mbona sioni kosa lolote la Makonda,?Hili tukio litachukua miaka kadhaa kufutika kwenye akili ya Makonda......
Kwa hiyo Wenje nae alikuwa mwongo? Mbona mnajitoa ufahamu hivi vijana,?Maovu huthibitishwa mahakamani sio kwenye kinywa cha mtu
...huko mahakamani kuna vinywa vya nani kama sio watu!Maovu huthibitishwa mahakamani sio kwenye kinywa cha mtu
Unafiki wa Makonda uko wapi, ?Huyu Binti wa Kabwe amefanya jambo la muhimu nampongeza sana kuna watu wanafiki sana.Makonda atakuwa amejifunza jambo kubwa sana
Alafu shangaa sas gazeti la wanalolitegemea chadema eti ndio lomeandika! Kwanza jiulize habari kama hii mwananchi wa kule Nachingwea inamsaidia nini?Sioni cha kujadili hapa sioni kosa la makonda kisheria yeye ni mtendaji tu je marehemu alisingiziwa? Jamani watanzania tusipende kujadili saanaa habari nyepesi kama hii kutopewa mkono mbona kawaida tu mitaani majirani tu hawasalimiani ndugu hawazikani sioni habari hapo waandishi hawa jamani
UnafikiMbona sioni kosa lolote la Makonda,?
Unafiki wake nini?Unafiki
...huyo mtoto wa marehemu (rip) ni mpuuzi tu, hivi Makonda ndiye aliyeanza kumsema baba yake au yeye ndio alianza kisikia babake akisemwa?Tatizo la Paul Makonda ni lipi? mtu kama anatuhumiwa asisemwe ? This is stupidity.