Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,774
- 22,085
Andika vizuri usitokwe povuMbona rais hujaenda na hasemwi?
Andika vizuri usitokwe povuMbona rais hujaenda na hasemwi?
Rais alitumia busara sana kutoenda,Mbona rais hujaenda na hasemwi?
Sio kumuacha kabwe na uchafu wake, kuna jinsi ya kumuondoa mfanyakazi mzembe kazini sio kwa styyle aliyotumia makonda, unamuondoaje mtu kazini kwa kuita vyombo zvya habari na kufanya nao mkutano wa kumfukuza mtu kazi? Mbona rais hakufanya hivyo wakati anamuondoa Kitwanga?!Yani angeendelea kumwacha kabwe na uchafu wake sio? Aibu gani hii kwa taifa hili vijana wanajitoa ufahamu hivi?
Issue hapa si kutumbuliwa kwa Kabwe bali mantiki ya Makonda kuhudhuria msiba usiomhusu.Makosa ya makonda katika tukio la kumtumbua Wilson liko wapi???mwanzo kabsa hakumtaja..japo alieleza ubadhirifu bila kutana jina la mtu..ila mkuu wa nchi ndo akamwamulu amtaje mhusika Mara moja....tena akamwambia asiogope....hapo kosa ni la makondo au la boss wake....???
Mbali ya madhaifu mengi aliyonayo makonda ila katika suala la kumtumbua marehemu bnafsi sioni alipokosea.....so kwenda msibani ulikuwa sahihi kwake.....ubaya mtu unaisha pale anapokufa
View attachment 350809
Anna Kabwe, binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amegoma kumpa mkondo Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lilimfika Makonda aliposhiriki shughuli ya kuaga mwili wa Kabwe katika Viwanja vya Karimjee alipokuwa akitoa mkono wa pole kwa familia ya Kabwe.
Wakati Makonda akimpa mkono, Anna aliendelea kuchezea simu yake huku akipuuza mkono wa kiongozi huyo. Anna alifanya hivyo akiwa amekaa huku ndugu zake wengine wakiwa wamesimama wakati wakipokea mkono huo wa pole.
Kitendo hicho kimetafsirika kwamba, Anna alikumbuka tukio lililofanywa Aprili 19 mwaka huu wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambapo Makonda alimtuhumu marehemu Kabwe (baba yake) kwamba amehusika na kusaini mikataba iliyoikosesha mapato serikali.
Kabwe alifariki tarehe 19 Mei mwaka huu kutokana na tatizo la ini. Mauli yalimkuta akiwa katika Hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Ameacha mjane na watoto watano; wanne wa kiume na mmoja wa kike.
Kwani angepokea huo mkono ndio ungemfufua huyo baba yake?Kwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
...huko mahakamani kuna vinywa vya nani kama sio watu!
Na asingekwenda watu wakimsakama tena makonda ana roho mbaya kiongozi wa Mkoa anaachaje kwenda kwenye mazishi ya alikwua Mkurugenzi, Au anajiona yeye Malaika haya ndio maneno ambayo mngeyasema endapo asingekwenda, KAZI PEMBENI, Pale ameenda kama binadamu wengie walioguswa na msiba, KAZI YAKE ISIMFANYE ASHINDWE KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII N.K..poleni wafiwa, Marehemu siku yake imefika Mungu amemchukua, alichofanya Makonda ni kazi yake na yuko kazini, kama baba yenu alionewa alipaswa kwenda MAHAKAMANI KUMSHTAKI MAKONDA.Angetumia busara na kutoenda, angetuma mwakilishi kama mwenzake.
Ndiyo kwenda kwake kulikuwa na mantiki..kwani ni sehemu ya kazi zake za kushiriki masuala ya kijamii kwa kuwa tukio lilitokea sehemu ya eneo la kazi yake. yeye ni boss wa mkoa, regardless kulikuwa na kitu amefanya kwa marehemu hapo kabla na alifanya katika kutekeleza majukumu yake kama alivyoagizwa na boss wake.marehemu ni mtu ambaye pengine kabla ya umauti walifanya nae kazi mbali ya madhaifu ya marehemu hayaondoi utu wa makonda kushiriki mazishi yake..nimesema mabaya ya mtu huisha siku ya umauti wake.Hivyo makonda alikwenda pale si kwa mabaya ya marehemu wakati akiwa hai, bali kwa mema ya marehemu na pia kushiriki km wengine walivyoshiriki kumsindikiza mpendwa wao..Una uhakika gani watu wote walioshiriki pale wote ni marafiki wa marehemu?? kuna wengine walikuwa ni maadui wake lakini walishiriki so...usi- justify Makonda kufika pale ndo iwe nongwa huyo binti kumchunia...Anyway makonda asi-mind sana kwani hiyo binti alikwa na hasira za k..i..k...e..Issue hapa si kutumbuliwa kwa Kabwe bali mantiki ya Makonda kuhudhuria msiba usiomhusu.
Sasa mbona na wewe umeanza kuhukumu hapooooDuh! Kama mwenyezi Mungu angekuwa anatoa adhabu kwa hasira namna hiyo usikute wewe angekuhukumu ugongwe na gari Leo hii ufe.
Usihukumu ili usihukumiwe ndugu yangu.
Hapana...Lakini just fikiria kibinadamu mzazi wako ndio amefariki alafu anakuja mtu aliyeamua kuonesha chuki za wazi kabisa na mzazi wako...eti anajipendekeza msibani kuwa anajali
Huo ni ujinga na Unafiki
Pia kumbuka watoto wa kabwe pia wana maumivu
kwani kuna mtu ametetea uozo wa kabwe hapa?Hivi yale yaliosemwa na makonda kuhusu kabwe wapinzani si walikuwa wakimpigia kelele toka awamu ya nne! Iweje leo hii imegeuka chuki?'
Hebu tupunguze unafki watanzania, au alitakiwa aongee meya wa jiji ndio isingeonekana ni chuki binafsi
kwani kuna mtu ametetea uozo wa kabwe hapa?
No...tunachosema..Msibani sio sehemu ya kupeleka viherehere vyetu
umesema kwamba makonda anachuki binafsi na kabwe , kwa maana nyingine ni kama vile unatetea yale yote aliyokuwa akisemwa kabwe ni uongo na ni chuki tu zawatu
Well said hakuna msiba usio na Shaka wanaona Kama yule ndio mchawi wa kifo cha baba yaoYawezekana alikuwa na majonzi kupita kiasi
hata akashindwa kutoa mkono kwa mheshimiwa
si sahihi kufikiri kwamba alifanya makusudi.
msiba unahitaji uvumlivu kwa waliowahi kufiwa wataniunga mkono.
We nawe dah, Sasa kinachowekwa front page si ndo huwa cha kuaminiwa?Ingekuwa ni video ningeamini kiwa alimchunia, ila picha ya gazeti!!! Tena on the front page!!!