Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

Ok, mkuu uko sahihi lakini hoja yangu ni kwa watu wasio wanafamilia wa marehemu kabwe, ambao wanajivalisha uanafamilia na kutoa shutuma nzito kwa makonda kwa kumsemea marehemu kwa mh. Rais, hii inaleta taswira ya unafiki kwa baadhi ya watu ambao miezi michache iliyopita kilio chao kilikuwa juu ya marehemu kabwe, kasimamishwa kazi na bahati mbaya mauti yamemkuta haohao wanaelekeza sababu za kifo moja kwa moja kwa makonda.

wewe unachanganya mambo hapa

Watu hatutetei kuwa kabwe hakuwa mwizi

Tunachosema ni kuheshimu hisia za watu wakati wa Msiba
 
Poa yawezekana najibizana na mwanafamilia hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haya mambo ya Suarez na Patrice Evra yapo mpaka kwenye misiba...Tulizoea kuona kwenye mpira ligi z Ulaya
Ndio maana mambo ya kuajiliwa ni kama "Utumwa",Mzee Kabwe "alitumbuliwa" na Makonda mtoto wake kabisa wa kumzaa
Maana mwaka 1982 wakati Mzee Kabwe anaanza Chuo Kikuu akisomea Sheria,Bwana Mdogo Makonda alikuwa hajazaliwa kabisa,nafikiri hii ya Kabwe ni moja kati ya kumbukumbu "mbaya" ya Makonda ktk utumishi wake na maisha yake ya kiroho.Makonda ni "kijana" wa yule Pastor Ndegi wa Kawe.Kwa ulimwengu wa Roho,hii kitu ina nafasi yake,kama tu "dhamira ya kiroho" ya Makonda bado i hai.
Watanzania tusiwe wasahaulifu haraka hivi; marehemu alianza kutuhumiwa na mbunge wa Nyamagana kwenye bunge lililopita, alituhumiwa pia na Sugu mbunge wa Mbeya na hata kina Zungu, mbunge wa Ilala kwenye bunge la 10. Makonda alicho kifanya ni kuongeza nyama tu zingine lakini mengi aliyo mtuhumu nayo ni yale yale ambayo marehemu alituhumiwa sehemu nyingine alikofanyia kazi. Makonda asingefanya hivyo, ni sisi hawa hawa ambao tungemlaumu. Tuna jema gani Watanzania? Mtu akifanya kazi, tunalaumu, asipo fanya kazi pia tunalaumu, ni nini sasa hua tunataka kifanyike? Ingawa pia kibinadamu, Makonda alipaswa apime upepo, niliposikia Kabwe kafariki, mtu wa kwanza niliyemwonea huruma alikua ni Makonda, nina hakika usiku wa kuamkia jana Makonda alikua na wakati mgumu sana cause lazima alijiuliza hivi; niende au nisiende? Nisipo enda watu watasema nillikua na chuki binafsi na marehemu na nikienda pia watu/ndugu wa marehemu watachukia uwepo wangu but still yeye ni mkuu wa mkoa ambaye ni lazima awepo, what could he do? Sometimes tuwe tuna vaa viatu vya wote. Binti wa marehemu alikua anayo sababu ya kukataa kusalimiana na Makonda lakini Makonda nae alikua hana namna, ilikua ni lazima aende kuwahani Wafiwa. Ndio dunia ilivyo.
Suala la umri hapa sidhani kama ni point, Magufuli na Kabwe mbona pia inaonekana Magufuli ni mdogo kwa Kabwe; issue ni kua nani yupo juu yako is not the matter of age or race, the issue is who is the boss!
 
TATIZO LA BWANA MAKONDAKTA NI KUJIFANYA MJUAJI NA MTOTO WA MJINI...SASA AMEKUTANA NA MTOTO WA MJINI KULIKO YEYE. MAKONDA AMECHANGIA KIFO CHA KABWE KWA ASILIMIA KUBWA.
na wenje asilimia ngapi??
 
Japo huyu jamaa huwa simpendi ila nimemuonea huruma alivochuniwa. Asingeenda tu kwani angepungukiwa nini. Nikweli Kabwe alikua jipu ila sidhani kama familia yake inaamini hili. Afu watoto wakike huwa tunamafundo kweli moyoni
 
Duuuh, sister kaamua kuwa kama mbwai na iwe mbwai...... Kauzu zaidi ya dagaa
 
bado mahakama ya mafisadi ikianza atafunguliwa mashitaka na familia itafilisiwa haiwezekani familia yako ikaishi kama ipo peponi kwa mali za wizi tena kudhulumu wanyonge.
Mhhh!
Unaandika kwa jazba sana mkuu. Ni hili tu au kuna lingine nyuma ya pazia?
Hapana...Lakini just fikiria kibinadamu mzazi wako ndio amefariki alafu anakuja mtu aliyeamua kuonesha chuki za wazi kabisa na mzazi wako...eti anajipendekeza msibani kuwa anajali

Huo ni ujinga na Unafiki

Pia kumbuka watoto wa kabwe pia wana maumivu
 
yapi tena! hacheni kutishia watu, tarime siku hizi kumebadilika sio kama enzi hizo ambazo ilikuwa ukionekana huna ngeo wanakucharanga panga hapo hapo. Hizo ni sifa za kipuuzi tu.
Mikwara ya kutumia itikadi ya kanda ni hali ya jamii fulani kuwa primitive isiyo na ustaarabu na si jambo la kushabikia, eti angekuwa tarime tungekuwa tunaongea mengine, wangesombwa familia nzima, huwezi kushindana na mamlaka kwa local means kama hizo
 
Watanzania tusiwe wasahaulifu haraka hivi; marehemu alianza kutuhumiwa na mbunge wa Nyamagana kwenye bunge lililopita, alituhumiwa pia na Sugu mbunge wa Mbeya na hata kina Zungu, mbunge wa Ilala kwenye bunge la 10. Makonda alicho kifanya ni kuongeza nyama tu zingine lakini mengi aliyo mtuhumu nayo ni yale yale ambayo marehemu alituhumiwa sehemu nyingine alikofanyia kazi. Makonda asingefanya hivyo, ni sisi hawa hawa ambao tungemlaumu. Tuna jema gani Watanzania? Mtu akifanya kazi, tunalaumu, asipo fanya kazi pia tunalaumu, ni nini sasa hua tunataka kifanyike? Ingawa pia kibinadamu, Makonda alipaswa apime upepo, niliposikia Kabwe kafariki, mtu wa kwanza niliyemwonea huruma alikua ni Makonda, nina hakika usiku wa kuamkia jana Makonda alikua na wakati mgumu sana cause lazima alijiuliza hivi; niende au nisiende? Nisipo enda watu watasema nillikua na chuki binafsi na marehemu na nikienda pia watu/ndugu wa marehemu watachukia uwepo wangu but still yeye ni mkuu wa mkoa ambaye ni lazima awepo, what could he do? Sometimes tuwe tuna vaa viatu vya wote. Binti wa marehemu alikua anayo sababu ya kukataa kusalimiana na Makonda lakini Makonda nae alikua hana namna, ilikua ni lazima aende kuwahani Wafiwa. Ndio dunia ilivyo.
Suala la umri hapa sidhani kama ni point, Magufuli na Kabwe mbona pia inaonekana Magufuli ni mdogo kwa Kabwe; issue ni kua nani yupo juu yako is not the matter of age or race, the issue is who is the boss!
Well said, watu baadhi ni wanafiki kuliko
 
Mikwara ya kutumia itikadi ya kanda ni hali ya jamii fulani kuwa primitive isiyo na ustaarabu na si jambo la kushabikia, eti angekuwa tarime tungekuwa tunaongea mengine, wangesombwa familia nzima, huwezi kushindana na mamlaka kwa local means kama hizo
AHSANTE KWA KUMUELIMISHA HUYU JAMAA ...
 
Watanzania tusiwe wasahaulifu haraka hivi; marehemu alianza kutuhumiwa na mbunge wa Nyamagana kwenye bunge lililopita, alituhumiwa pia na Sugu mbunge wa Mbeya na hata kina Zungu, mbunge wa Ilala kwenye bunge la 10. Makonda alicho kifanya ni kuongeza nyama tu zingine lakini mengi aliyo mtuhumu nayo ni yale yale ambayo marehemu alituhumiwa sehemu nyingine alikofanyia kazi. Makonda asingefanya hivyo, ni sisi hawa hawa ambao tungemlaumu. Tuna jema gani Watanzania? Mtu akifanya kazi, tunalaumu, asipo fanya kazi pia tunalaumu, ni nini sasa hua tunataka kifanyike? Ingawa pia kibinadamu, Makonda alipaswa apime upepo, niliposikia Kabwe kafariki, mtu wa kwanza niliyemwonea huruma alikua ni Makonda, nina hakika usiku wa kuamkia jana Makonda alikua na wakati mgumu sana cause lazima alijiuliza hivi; niende au nisiende? Nisipo enda watu watasema nillikua na chuki binafsi na marehemu na nikienda pia watu/ndugu wa marehemu watachukia uwepo wangu but still yeye ni mkuu wa mkoa ambaye ni lazima awepo, what could he do? Sometimes tuwe tuna vaa viatu vya wote. Binti wa marehemu alikua anayo sababu ya kukataa kusalimiana na Makonda lakini Makonda nae alikua hana namna, ilikua ni lazima aende kuwahani Wafiwa. Ndio dunia ilivyo.
Suala la umri hapa sidhani kama ni point, Magufuli na Kabwe mbona pia inaonekana Magufuli ni mdogo kwa Kabwe; issue ni kua nani yupo juu yako is not the matter of age or race, the issue is who is the boss!

hakukuwa na ulazima wa makonda kwenda pale

Hapa issue sio kuhusu wizi wa marehemu...hapa ni kuhusu hisia za wafiwa...they deserved respect
 
kwani marehemu aliwahi kufanya ubinadamu? nikumbushe...alikosea angejiunga CHADEMA mgemsafisha fasta.
Ni wazi alifanya ndio maana alikuwa anataeuliwa na kuhamishiwa sehemu mbali mbali vinginevyo asingepewa vyeo alivyokuwa navyo
 
Watanzania tusiwe wasahaulifu haraka hivi; marehemu alianza kutuhumiwa na mbunge wa Nyamagana kwenye bunge lililopita, alituhumiwa pia na Sugu mbunge wa Mbeya na hata kina Zungu, mbunge wa Ilala kwenye bunge la 10. Makonda alicho kifanya ni kuongeza nyama tu zingine lakini mengi aliyo mtuhumu nayo ni yale yale ambayo marehemu alituhumiwa sehemu nyingine alikofanyia kazi. Makonda asingefanya hivyo, ni sisi hawa hawa ambao tungemlaumu. Tuna jema gani Watanzania? Mtu akifanya kazi, tunalaumu, asipo fanya kazi pia tunalaumu, ni nini sasa hua tunataka kifanyike? Ingawa pia kibinadamu, Makonda alipaswa apime upepo, niliposikia Kabwe kafariki, mtu wa kwanza niliyemwonea huruma alikua ni Makonda, nina hakika usiku wa kuamkia jana Makonda alikua na wakati mgumu sana cause lazima alijiuliza hivi; niende au nisiende? Nisipo enda watu watasema nillikua na chuki binafsi na marehemu na nikienda pia watu/ndugu wa marehemu watachukia uwepo wangu but still yeye ni mkuu wa mkoa ambaye ni lazima awepo, what could he do? Sometimes tuwe tuna vaa viatu vya wote. Binti wa marehemu alikua anayo sababu ya kukataa kusalimiana na Makonda lakini Makonda nae alikua hana namna, ilikua ni lazima aende kuwahani Wafiwa. Ndio dunia ilivyo.
Suala la umri hapa sidhani kama ni point, Magufuli na Kabwe mbona pia inaonekana Magufuli ni mdogo kwa Kabwe; issue ni kua nani yupo juu yako is not the matter of age or race, the issue is who is the boss!
Mkuu mbona kama mimi na wewe tunakubaliana?Maana ulichokiandika ndicho na mimi nimekisema
Ndio maana nikasema "Haya mambo tulizoea kuona ligi za Ulaya kukataa kupeana mikono"
Age is nothing,ndio maana nikasema kuajiliwa ni kama "Utumwa"
Mimi nakubalaiana na wewe 100% mkuu
 
Ni wazi alifanya ndio maana alikuwa anataeuliwa na kuhamishiwa sehemu mbali mbali vinginevyo asingepewa vyeo alivyokuwa navyo
mbona jana hujaenda msibani kama mzalendo makonda, unakomaa nyuma ya keaboard
 
Back
Top Bottom