sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 691
- 386
yes ipo hairuhusu mapenzi ya jinsia mojaHarafu wakiwasaka watawashtaki Kwa kosa lipi. Je ? Tanzania tuna sheria ya makosa hayo
yes ipo hairuhusu mapenzi ya jinsia mojaHarafu wakiwasaka watawashtaki Kwa kosa lipi. Je ? Tanzania tuna sheria ya makosa hayo
Kurukaruka kwa maharage ndio njia ya kuivaKwa nini asianze na yule wa Clouds?.... Huyu Makonda sidhani kama atamaliza na JPM miaka 5.. Anaruka ruka sana...
Madereva kaokoka alisema baba'ake,alilosema ni hekima tosha toka mbinguniUnajua kukaa kimya wakati mwingine siyo kwamba huna chakusema au kufanya kwani huenda ni mojawapo ya jibu au unatafakari cha kujibu au kufanya kwa busara zaidi.
Ndiyo maana laiti kama wengi wetu tuko karibu na Mungu hakika tungelikuwa na busara sana na kupewa maarifa lakini kwa kwakuwa wengi wa watu huwa mbali na Mungu naye Mungu kawanyima akili na Maarifa na hatimaye tunaonekana kufanya mambo kwa kurupuka.
Kwa ufupi "Speed without Brain is Zero", sote tuna paswa kwanza kujadili SABABU/CHANZO CHA MASHOGA NI NINI HASA,TUFANYE NINI ILI PASIWEPO KWA MASHOGA KWA KUMUHUSISHA MUNGU YOTE HAYO.
Tukitumia nguvu nyingi pasipo akili huenda ikawa BURE, suala hili tuanapaswa kila mmoja wetu kutoa mchango wake wa khali na mali kukomesha mashoga,Viongozi wa Dini,Familia n.k.
Ni kweli hakuna mwenye akili TIMAMU atakaye kubali ushoga, lakini tunapaswa kutumia akili na busara toka kwa Mungu na siyo Mwendo Kasi.
Matamko kwa makonda ni moja ya kazi zake,unakumbuka lile la kuwaondoa ombaomba?leo kiko wapi?wapo wanaendelea na maisha yanasongaHawa watu wanajulikana walipo..Ila akiwakamata atawafanyaje?, Hapo bado sijaelewa nn anataka kufanya
Na mn hapo nimekosa jibu..Ngoja wanasheria wajeHarafu wakiwasaka watawashtaki Kwa kosa lipi. Je ? Tanzania tuna sheria ya makosa hayo
akipakuliwa wewe unaumiaje sasa?
Kwani omba omba aliwatimua kwa kosa lipiHarafu wakiwasaka watawashtaki Kwa kosa lipi. Je ? Tanzania tuna sheria ya makosa hayo
Nalikumbuka..Aliwatengea nauli waende wakachukue wenyewe,mtu katoka mkoani kuja kuombaomba mjini halafu unamwambia akachukue nauli mwenyewe. Haiwezekani..Matamko kwa makonda ni moja ya kazi zake,unakumbuka lile la kuwaondoa ombaomba?leo kiko wapi?wapo wanaendelea na maisha yanasonga
ushoga sio jambo la kuonekana...Hivi utamkamata mtu bila kidhibitosho, unasemaje ni shoga?umemkuta anakanguliwa au kwa muonekano wake?ukishawakamata unawapeleka wapi?
Malaya wa barabarani mpaka leo hii wapo na wanajiuzaa wamewashinda
Vipi na hao wanaowaingiliA??
Yes huyo ndiye mkuu wetu wa mkoaNalikumbuka..Aliwatengea nauli waende wakachukue wenyewe,mtu katoka mkoani kuja kuombaomba mjini halafu unamwambia akachukue nauli mwenyewe. Haiwezekani..
Tena huku wamejaaaAende kwenye kitchen party hasa zile za uswahilini
kutimuliwa sio kosa.Kwani omba omba aliwatimua kwa kosa lipi