Kama ni kweli anazidi kuprove point yangu, anaendeshwa kwa mihemko, afanye hivo aone uchumi utakavozidi kushuka kwa speed, tumepoteza watalii 8000 kwa kodi, waliobakia tutawapoteza kwa kukaa tunadeclare vita na binadamu wengine, hamna mtu mjinga atakayrjaribu kutembelea nchi ambayo haiko stable, matatizo yote yaliyojaa dar ambayo yanagusa maisha ya wengi directly anayaacha kwenda kutafuta wanaume wanaolaliana? Hehehe! tumekosa direction..
Alafu alisema kila nyumba sasa inapewa namba, tunakua na zipcode kila region, mwaka utaisha sasa nilikua naisubiri hiyo sana ili nianzishe huduma zangu za online Dar nzima. Si afikirie hata hili aache kupoteza muda, ashauza sura sana tumemtambua sasa