tusubiri siku ya mechi(vita) ndio tutaelewa weledi wa makomando wetu.
Achan na makomandoo ,mi nimepitia madojo si rasmi tokea enzi za miaka 80 -kwa watu wa dar watawakumbuka akina kiringo , Santana , (MwambaZero Jimmy Castro- marehemu hawa )Abdala Master sikuwa na rank yeyote zaidi ya kuwa najua kutifua ugomvi wa haja, miaka ya mbele uzeeni kwangu nika kutana ni vijana na mikanda yao kamasi ziliwatoka nawengine wakijidai wamechukua mafunzo kutoka nje au walimu wa nje.
In short wale vijana pale morogoro usiwatanie ni wadudu kamili ktk mpango wa vurugu.
Mwanangu Farudume ndio chama langu ,primary ukombozi,kisutu sek tambaza,high sch forest hill,chuo CBE!manzese darajani ndio makuzi yangu yeyote aliyeishi maeneo hayo lazima ajue kurusha konzi!Santana,Jimmy Master ,maste Zero are no more!dah mkuu ulikuwa mitaa hiyo,, satana, abdalah master,, jimmy castro si mchezo kitambao,,, huyo satana kuna siku aliukingia moto wa mjepu wa konoike akapima maji alipigwa vibao visivyo na idadi na mguu ilibidi atoke mbio...
heshima kwako kwa kunikumbusha kitambo mitaa hiyo bila shaka unawajua FARU DUME, SIFA YA MANZESE, KAGERA RANGER, COSMO, CARGO FC NK...
....Tatizo maelezo yenu yote yanaelezea eti jinsi gani watatupa kipondo sisi ambao hatuna mafunzo yoyote pindi tuwachokozapo kama justification ya u-fit wao na kwa wote watakaothubutu ulimwenguni, ,duu!
Morogoro ni sehemu tu ya training ya Awali ambao hata walinzi wa viongozi wanakwenda >baada ya pale kuna Zanzibar halafu ndo nje.Lakini hilo zoezi linalopigwa Mor si la kitoto.Wale jamaa kwa siku nadhani wanakimbia 40-50 km, kuogelea umbali nusu ya huo na mambo mengine mengi sana.Akikupa moja lazima ukae chini
Huo mwaka bado tutakuwepo kweli mkuu?
Nimepata shuhudia kwa macho, Wanajeshi wakitoka kuchukua fedha Benk, gari lao liko mbio mbio na askari watatu wakiwa nyuma ( Landrover pickup) na bunduki zao wazi wazi, bahati mbaya wakiwa kwenye juction road likatokea fuso limekata break, gari la jeshi likagongwa na kupinduka mara nne, gari lilikuwa nyanganyanga, Jinsi jamaa walivyo weza kuruka kwa ghafla ilikuwa kama sinema za james bond. This guys are real, japokuwa walikuwa wameumia vibaya bado walikuwa strong still with there guns on hand the guys front walikuwa in bad shape lakni those dudes on the back stopped no body to go close and they did rescue themselves.
It happen once in arusha, mwanajeshi mmoja aliuliwa usiku na majambazi mtaani, the next day all town was hell, hakuna mtu aliyekuwa akitembe mtaani wala magari , inasemeka ni vijana wadogo toka monduli jeshini wala hawafiki kumi.
Wanamafunzo maalum, magumu na ya kipekee, ndio maana wanaitwa makomandoo.
Somalia hapo mnaogopa kwenda!!
Mkuu ni STRABAG , sio TRABAG
Ni majinga tu yale majitu ya musoma yanajiita poti....
dah mkuu ulikuwa mitaa hiyo,, satana, abdalah master,, jimmy castro si mchezo kitambao,,, huyo satana kuna siku aliukingia moto wa mjepu wa konoike akapima maji alipigwa vibao visivyo na idadi na mguu ilibidi atoke mbio...
heshima kwako kwa kunikumbusha kitambo mitaa hiyo bila shaka unawajua FARU DUME, SIFA YA MANZESE, KAGERA RANGER, COSMO, CARGO FC NK...
Mara nyingi huwa nauliza hili.. Mada zinazohusu huku raia wanazifakamia sana hapa JF sijui wanasaka nn
Kweli vijana wa Fb mmeongezeka
na madeni na magonjwa haya sijui!
correction kidogo vip protection haifundishwi 92kj bali mafunzo yote ya ulinzi wa wakubwa hufundishwa ktk vyuo vya uwt na sana sana malindi japo vyuo kuna vyuo vyao vingine dodoma na zanzibar. tujifunze kutenganisha mafunzo ya commando na vip protection.
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu. Komandoo ni askari aliyepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.
Zamani ilikua ukisikia Komandoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba, Misri na Israel. Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?
Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera? (Kwani siamini kama bado tuko huru)..
popoma mwenzangu pole kwa ile "bani".mweee!!..hahahahahaha
Huwa unamuuliza nani