Makomandoo wetu wa Tanzania

Makomandoo wetu wa Tanzania

Mbona wanakuja nayo wenyewe?kwanini wasitoe uhuru kwa raia yeyote apeleke matofari yake?hakuna ukweli kuwa yale ni matofali bora

Labda huko vitani napo wataambiwa waende na matofali yao wenyewe...
 
Hata rafiki yangu songoro aliyapasua kila siku kabla ya kuanza kwa mechi ili apate namba kipindi cha mapumziko tukiwa shule za msingi jirani
 
Mayweather JR huwa anapasua magogo ya hardwood kumi manene kama mbuyu wa Pale St Peter oysterbay kila siku. Haya ni mazozi ya kujenga stamina na uvumilivu
kujiandaa na Mapambano yake ya Ngumi
 
Ndugu zangu leo nakuja na swali moja tu na hili linakwenda moja kwa moja kwa hawa makomandoo wetu wanaoonyeshaga mbwembwe zao siku za sherehe za kitaifa pale wanapofanya mambo ya kipekee. Swali langu ni Je, huwa ni kweli au huwa ni kiini macho au mazingaombwe.? Maana katika hali ya kawaida sidhani kama ni rahisi kwa yale mambo kuwezekana.

Mfano: Kuvunja matofali kwa kichwa na kadhalika

ni mia

Nawasilisha
Ni majinga tu yale majitu ya musoma yanajiita poti....
 
Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.
Kama ile Movie komando kipensi
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Tony Jaa, ameigiza filamu kama Ong Back, huyu jamaa nilienda Youtube na kuangalia mazoezi yake nikachoka kabisa. Jama yupo fiti mno kimazoezi, sio yeye tuu hata watu kama akina Tyson unaweza ukawapiga na ubao na ubao ukavunjika. Jamaa mazoezi wayafanyayo inawajenga miili yao ktk ukomavu wa hali ya juu sana.

Na ndio maana watu wanaofanya Martial Arts wanasisitizwa kutumia vyakula vyenye Madini ya CALCIUM kwa wingi sana.
 
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana

Haaaaa wenyewe hawapo hivyo, wewe mzalendo tu😀
 
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.

Inawezekana ikawa na ukweli hii kitu, maana mara ya kwanza kuisikia ilikuwa 2011 pale njia panda Ulaya.

Tena toka kwenye kinywa cha mkufunzi wao.
 
pengine inawezekana kuwa kweli, maana wakienda 100 kwenye mafunzo wanaweza kurudi 10 au 20 tu waliofuzu
 
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana

Mara nyingi huwa nauliza hili.. Mada zinazohusu huku raia wanazifakamia sana hapa JF sijui wanasaka nn
 
Back
Top Bottom