Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Jiangalie mkuu, usije uka-r.i.p kabla ya muda wako.
Mkuu utakuwa unanionea bure kwani mimi kwenye hayo mambo ni sawa na pipa na funiko
Jiangalie mkuu, usije uka-r.i.p kabla ya muda wako.
Aah wapindugu
sasa huyo wa matofali tu unashangaa, kuna hao ambao wamehifadhiwa mpaka vita vitokee, yaani wanaouwezo wa kula mabomu, risasi au kutafuna vyuma...
kwan kuvunja tofali nayo kazi? acha uzembe wewe
Ni kiini macho kama unavyoona kwenye mieleka...
Mielekaa
Ni mazingaombwee😕
Vitoto hapa mtaani vilishaanza kuiga huu ujinga siku nyingine kwenye maonyesho kama hayo wawe wanatoa warning mapema
Don't try this at home
Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.
Hata wewe mleta mada hii ukipiga tiki na ukagangamara utaweza vunja tofali
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana
sasa huyo wa matofali tu unashangaa, kuna hao ambao wamehifadhiwa mpaka vita vitokee, yaani wanaouwezo wa kula mabomu, risasi au kutafuna vyuma...
Huna lolote wewe , peleka porojo zako huko.. Hata sisi pia tupo kambini... Sema upo kambi gani tukutane...
Ni matofari vibiskuti yale siyo kama yale yanatumika kujengea nyumba au barabara kama yale ya Trabag barabara za mwendo kasi
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.
kambi ya lowassa
subiri vita vianze, ndio utawaona, kwa sasa wamehifadhiwa sehemu ya kificho....