ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
hivi hamna taarifa jeshi limekuwa la 3 duniani kwa vita vya chini kwa hili najivunia utanzania wangu najua tuna makomandoo walioiva ipasavyo
hivi hamna taarifa jeshi limekuwa la 3 duniani kwa vita vya chini kwa hili najivunia utanzania wangu najua tuna makomandoo walioiva ipasavyo
teh teh teh teh!!! CC Mussolin5 jMali & GENTAMYCINEban gani tena hiyo? umeshaona hii id yangu imepigwa ban? yawezekana labda unanifananisha ila mimi id yangu humu 24/7 ni hii hii mkuu. sina sifa ya kupewa ban na namwomba mwenyezi mungu nisipewe ban na niwe member mwema humu. samahani neno popoma lina maanisha nini mkuu?
Wana bodi.
Hawa makomandoo wa Tz si tuliwaona uwanja wa taifa jinsi wanavyopasua tofali kwa kichwa.
Yani wana mambo ya miaka ya 47, wakati wenzao wapo kwenye level za SEAL...
raisi legelege na geshi legelege
.........Kiboko Msheli, Entebbe, Linea Messina n.k.
Mwanangu Farudume ndio chama langu ,primary ukombozi,kisutu sek tambaza,high sch forest hill,chuo CBE!manzese darajani ndio makuzi yangu yeyote aliyeishi maeneo hayo lazima ajue kurusha konzi!Santana,Jimmy Master ,maste Zero are no more!
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu. Komandoo ni askari aliyepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.
Zamani ilikua ukisikia Komandoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba, Misri na Israel. Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?
Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera? (Kwani siamini kama bado tuko huru)..
kwani unadhani hawakuona yaliyowakuta makomandoo waliotukuka wa kimarekani walivyofanywa? unadhani somalia ni sawa na visiwa vya anjuan comoro?
hao members uliowataja hapo ndiyo akina nani au wamefanya nini mkuu?
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu. Komandoo ni askari aliyepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.
Zamani ilikua ukisikia Komandoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba, Misri na Israel. Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?
Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera? (Kwani siamini kama bado tuko huru)..
Komandoo alikuwa Tamimu peke yake..Waliobaki feki tu