srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,023
- 3,583
Wa kichina wanatunishia hadi mishale!
Kutunishia mishale hayo sasa ni mazingaombwe ndugu yangu
Wa kichina wanatunishia hadi mishale!
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana
Je kulalia mikuki kama makomando wa china???
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.
Wewe inaonekana hujapitia jeshi
Mpaka wakivunja matofali ya suma jkt ndo ntawaaminia.
Akipigwa risasi tumboni anaitema kutokeaa mdomoni:sly:
Mpaka wakivunja matofali ya suma jkt ndo ntawaaminia.
Vitoto hapa mtaani vilishaanza kuiga huu ujinga siku nyingine kwenye maonyesho kama hayo wawe wanatoa warning mapema
Don't try this at home
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.
mkuu mnawia nimepitia jeshi la wokovu
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana
Wa kichina wanatunishia hadi mishale!
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.
Ukikizoeza kiungo cha mwili kufanya shuruba ya a in a Fulani au dhoruba, calcium hujijenga katika eneo husika na kukifanya kiwe kigumu.
Pia kuna vitu vingine ambavyo humfanya akomae na kuwa imara kiasi hicho ambavyo sio sawa kuviweka hapa labda wahusika waamue kufanya hivyo.
Kwa kifupi ni kuwa hilo jambo linawezekana sana.
Huo uwongo kawadanganye watu wa bumbile
Rahisi kiivyo