Makomandoo wetu wa Tanzania

Makomandoo wetu wa Tanzania

kaka, hawa jamaa ni hatari kuliko maelezo ya kuwa hatari..they are well trained..siwezi kukuelezea jinsi walivyo watu hatari..kwa maana maneno pekee hayatoshi kueleza....wako fiti..kama mtutu wa bunduki vile...maana kwanza hawana matatizo yoyote kiafya..unajua jinsi bunduki ilivyo imara??? ndio hivyo walivyo..vyuma haswa..
 
Nimesema hivyo wandugu kwasababu kuna mtu ameniambia kwa sasa nchi za jirani na sisi wako vizuri mno na wanajifua mno ki military sasa sijui nia yao ni nini...

kajaribu uone kama hawajakufanya kama ulivyoona tofali linavyovunjwa, "wembamba wa reli treni inapaita"
 
sema walipokuwa sio mlipokuwa (uliniona), bila shaka walikuwa wanataka kuwapunguzia wabongo stress za maisha na kuwapa raha bila shaka ulifurahi sana kwani mpaka leo unakumbuka,

omba Mungu uwepo tukifikisha Miaka 100, utaona mtu anatafuna chuma kwa meno, in short itakuwa zaidi ya mazingaombwe,

I WILL BE WAITING YOU THERE
@ 09/12/2061

hahahahahaaa!
 
KakaJahazi;
Ni kweli ulilosema. Maana sasa tutashindwa kuwatofautisha na mtu mwingine ambaye ana uwezo wa kupigana hata na watu 40 wote wakagwaya. Issue hapa ni je, when it comes kwenye maswala ambayo wamekuwa trained kwa ajili yake, wako fit? Ila mimi kwa upande mwingine nadhani kwenye ukommandoor kuna international standards ambazo bado zinazingatiwa in a strict sense kwamba komandoo wa hapa, US, Israel, India, Pakistan, n.k. hawawezi kutofautiana ujuzi, labda vifaa vya kutumia, na pengine hawa wa kwetu sababu ni watu wanaozaliwa kwenye mazingira magumu tangu wakiwa watoto mchanga, wanaweza kuwa wako fit zaidi kwenye fierce situations kuliko hata wale wa mataifa makubwa, sema tu wanaweza kuzidiwa vifaa vya kutumia, ila kama ni bare foot, bare handed, nadhani hapa tunao wanaoweza kummninya hata chui ukafikiri wanaminya paka!
Ni sawa kuna standards kama ilivyo degree, PhD, uprofesa, lakini kumbuka hata lukuvi ni PhD holder sawa sawa na PhD holder wa us, UK. Degree Tumaini, udsm, ifm, makumira kote wanatoa, na zote zina standard! Umeliwa kwa kukalia kuamini hilo. Dunia ya sasa vita sio kupigana, kuruka sarakasi, kuvunja tofali, unajua drones wewe! Ndege zisizo na rubani, nyambizi, vitavya karne hii ni sayansi na teknolojia, umewahi kusikia FBI, CIA, homeland security, marines,special forces, seal team tena hii hata mwanamke hatakiwi akaribie ndio uwapambanishe na komando wetu, labda kama miili yao haipenyi risasi wala mabomu. Tz bado sana ukilinganisha na nchi nyingine
 
tunao askari wazuri tu na wamepata mafunzo ya kutosha. Tunatofautiana nchi na nchi. Mimi nijuavyo umakini wao utajionyesha kwenye operations za kuokoa mateka, kumkamata mtu aliye mbali, au kuzima uvamizi. Huwa sio watu wakupigana vita muda mrefu na wala hawatumiki sana kwenye kulinda amani kwa sababu hakuna changamato nyingi. Labda kwa vile Tanzania sio aggressive kwenye sera ya nje ndio maana hatuwaoni sana, ila kila nchi ina elite unit na ukitaka uwe na elite force nzuri basi wanakuwa wamepelekwa nchi tofauti kwa mafunzo.
 
sema walipokuwa sio mlipokuwa (uliniona), bila shaka walikuwa wanataka kuwapunguzia wabongo stress za maisha na kuwapa raha bila shaka ulifurahi sana kwani mpaka leo unakumbuka,

omba Mungu uwepo tukifikisha Miaka 100, utaona mtu anatafuna chuma kwa meno, in short itakuwa zaidi ya mazingaombwe,

I WILL BE WAITING YOU THERE
@ 09/12/2061

joely, Dont try to exagerate. Ninachokubaliana na wewe ni kuwa the boys are good. But in a country like this, watu wanaoshindia ugali mrenda unategemea wanafanana na wale Seals ambao half of their peace time wanajifunza kwa vitendo na nadharia?
 
Last edited by a moderator:

Ndahani, infact ukizungumzia SEAL, unazungumzia kitu kikubwa sana, wale ni makomandoo, pengine mkuu unatakiwa kujua tu kuwa sio kila komandoo anakiwango sawa na mwenzake wapo ambao ni specialized ktk nyanja moja na wapo ambao ni wa jumla.
gharama ya kumtrain na kumtunza komandoo ni kubwa ila hatuitaji kuwa na makomandoo wengi ili tuwe salama, tunachoitaji ni mfumo makini wa upelelezi ili tumuone adui kabla ajatuona
 
I agree with you completely. Ndio maana sioni sababu ya kutunishiana misuli na kila anayepita njia maana wengine wanakuja kutupima ili kujua tukoje.
Well, all the best kwa wale ambao wanafurahia kugalagala kwenye matope ya kutengenezwa kwa maji ya kuchota.
 
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.Komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba,Misri na Israel.Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?

Nimepata shuhudia kwa macho, Wanajeshi wakitoka kuchukua fedha Benk, gari lao liko mbio mbio na askari watatu wakiwa nyuma ( Landrover pickup) na bunduki zao wazi wazi, bahati mbaya wakiwa kwenye juction road likatokea fuso limekata break, gari la jeshi likagongwa na kupinduka mara nne, gari lilikuwa nyanganyanga, Jinsi jamaa walivyo weza kuruka kwa ghafla ilikuwa kama sinema za james bond. This guys are real, japokuwa walikuwa wameumia vibaya bado walikuwa strong still with there guns on hand the guys front walikuwa in bad shape lakni those dudes on the back stopped no body to go close and they did rescue themselves.

It happen once in arusha, mwanajeshi mmoja aliuliwa usiku na majambazi mtaani, the next day all town was hell, hakuna mtu aliyekuwa akitembe mtaani wala magari , inasemeka ni vijana wadogo toka monduli jeshini wala hawafiki kumi.
 
Shida yenu ni kujaribu kuwalinganisha watu hawa na sie raia wa kawaida ambao hatuna formal training za marshal arts au za kijeshi. Nigependa kusikia uhodari wao katika operation za nje vitani. Otherwise ni hadithi tu maana wakikutana na wenzao walio na training kama zao waweza kukuta hamna kitu.
Ebu tuendelee kujifurahisha kwa stori hizi za sinema.
 
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.Komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba,Misri na Israel.Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?

wasi wasi wako ni mzuri. ILA they are REAL GOOD. Unless if you have any sensitive information to share with us!
 
Ndugu zangu leo nakuja na swali moja tu na hili linakwenda moja kwa moja kwa hawa makomandoo wetu wanaoonyeshaga mbwembwe zao siku za sherehe za kitaifa pale wanapofanya mambo ya kipekee. Swali langu ni Je, huwa ni kweli au huwa ni kiini macho au mazingaombwe.? Maana katika hali ya kawaida sidhani kama ni rahisi kwa yale mambo kuwezekana.

Mfano: Kuvunja matofali kwa kichwa na kadhalika

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom