Makomandoo wa North Korea


Daah,,,,nimecheka sana watu mna maneno kwakweli,,,kwahiyo maDR wangetolea hapo hasira zao dole lingeweza kukaa humo hata km ni wk cmchezo,,,!
 

Mimi nadhani mazoezi yavile nikwaajili yakumfanya Askari awefiti tu sababu kwenye uwanja wa mapambano cdhani km muda wote mtafatana as group sometym unaweza kuwekwa mahari flan peke yako adui akakushtukiza utafanyaje cnilazima uBAVU utumike,,,,,!
 
Inasikitisha sana,we humans are still very premitive and uncivilized,we think of destructive ideas instead of constructive ones,nchi fulani ikiwa na nguvu ya kivita kuliko nyingine ndio nini? itatusaidia nini?Kizazi kijacho kama kitakuwa smart kitaweka silaha tunazozitumia/tunazozisifia sasa kwenye makumbusho ili kufundishia watoto wao jinsi binadamu wa zamani(yaani sisi) alivyokuwa premitive/destructive, kama sisi tulivyoweka zana za mawe za binadamu wa kale kwenye makumbusho yetu.
Watu mnabishana very premitive ideas bila kujijua,dunia haitakiwi iwe kama ilivyo sasa wars,borders,hatred etc,haya yote hutokea kwa sababu ya imbalance use of world resources na kufikiri/kuamini kwamba pesa ndio mtatuzi wa matatizo ya dunia hii.Nilitegemea sophisticated and constructive debate humu jamvini ili watu wapate elimu yenye faida lakini badala yake kuna watu wanabishana bila ya hata wao wenyewe kujua kwa nini wanabishana na nini faida ya mabishano yao na hata wakishinda mabishano watafaidika nini.
Think about RESOURCE BASED ECONOMY,don't take my word,just think about it.
 
Hata waliomvamia.Osama walitumia.latop.fuuuuuumbafu weye
 
Last edited by a moderator:
Hata waliomvamia.Osama walitumia.latop.fuuuuuumbafu weye

Jamaa anasahau kwamba vita ya drones itaua raia wengi hata wasio walengwa, mara ngapi tumesikia drones zimeua watu wasio na hatia kule Pakistan.
Unless kama hakuna kuchambua hata kama adui ni mmoja kwenye group la watu drone inaachia kombora tu hapo sawa otherwise, vita haiwezi piganwa kwa kutumia drones tu.
 

Sasa wewe mtazamo wako ni upi?

Hayo mazoezi ni sawa au sio sawa?

Maana mara huku unaunga mkono mara kule unadai yanachekesha ...

Hueleweki ..!!
 
Sasa wewe mtazamo wako ni upi?

Hayo mazoezi ni sawa au sio sawa?

Maana mara huku unaunga mkono mara kule unadai yanachekesha ...

Hueleweki ..!!

nilikuwa naongelea anayesema vita ya drones tu can do everything.
Yananichekesha lakini sometimes ina maana, ebu fikiri mfano mtu ametekwa then anapata chance ya ku escape hana any weapon, basi techniques hizo zinaweza msaidia.
 
nilikuwa naongelea anayesema vita ya drones tu can do everything.
Yananichekesha lakini sometimes ina maana, ebu fikiri mfano mtu ametekwa then anapata chance ya ku escape hana any weapon, basi techniques hizo zinaweza msaidia.

Kwahiyo mazoezi hayo yana maana si ndio?
 
The guy seems to think everything happens under normal circumstances!!
 
Sitaki kuingia sana kwenye huu mjadala lakini suala la Marekani kutotaka sana kupigana na Urusi ni vile maslahi yao yanakuwa hayajaguswa sana lakini uwezo inao. Na kitu kingine kutokana na ukweli kwamba Urusi nayo ina nguvu kubwa ya kijeshi kuanzisha military confrontation kunaweza kuwa na gharama kubwa sana kwa Marekani. Hata Urusi hana interest ya kupigana na Marekani kwa sababu zilezile. Kwa kifupi hawa wakipigana uwezekano wa Mmarekani kushinda ni mkubwa lakini je gharama yake ni kiasi gani?? Je ni vyema kushinda vita halafu mwishowe unapoteza nguvu yote na kuiruhusu China kuwa super power? Pili kuna nyuklia, kwa mfano labda Marekani inaweza kushinda kwa bahati Urusi waamue kukubali matoke lakini vpi wakiamua kutumia nyuklia? Ni kweli hata Marekani ana nyuklia lakini ni nani anataka Mutual Assured Destruction aka MADness!!!

Kaka mziki wa U.S sio mdogo sema watu wanaangalia consequences!!
 
Reactions: kui
jamani mi wananiachaga hoi kweli na matofali yao ya kuchoma
 

hahahaaa
 
Mkuu Nyani @ngabu hiyo kitu huwa nina iangalia mara kadhaa kwa U-tube lakini huwa ninaona kama kuna vitu flani flani wana zidisha chumvi . Ichunguze kwa makini kuna vitu utagundua kama vina tia wasis wasi kama ni vya kweli.

Ni video za propaganda tu hizo.

Usikute hayo matofali wanayovunja wala si magumu kivile.
 
any tabularasa will quickly go for this after having no point of argument.

Ad hominem!

tatizo watu mmekuwa wavivu sana wa kufatilia historia na taarifa. swala la wakorea kufa kwa njaa ni la zamani sana na ni kipindi cha nyuma sana wakati babu yake King Jon Un ndio akiwa kiongozi, King Jon Il wa kwanza ndo kulikuwa na mambo hayo.

Soma hii makala ya Reuters basi:


Bofya hapa kwenda moja kwa moja kwenye ukurasa wa Reuters kwa makala yote.

sasa hizi taarifa za njaa sijui umezitoa wapi. kukudhirihirishia kuwa wewe ni muongo na hujui chochote niletee hapa taarifa na ushahidi kuwa korea kuna njaa kwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi kuhusu njaa za huko Korea Kaskazini

Food Shortages and Famine

Bofya hapa uende moja kwa moja kwenye ukurasa wa tovuti ya Human Rights Watch ili uweze kusoma habari nzima.

HALAFU KUDHIHIRISHA KUWA WEWE NI POYOYO KABISA.

Aisee! Mbona watokwa na povu hivyo?

mada hapa inaongelea uwezo wa kijeshi . nimekupa maelezo tena mafupi sana umekimbilia kwene njaa. hivi unajitambua?

Teh teh teh....tuliza mshono huo kijana. Bofya hivyo viunganishi uongeze ufahamu wako juu ya mabaa ya njaa huko Korea Kaskazini.

kuna uhusiano gani kati ya dhana za vita na njaa?

Yaani uhusiano uliopo wewe huuoni? Halafu unadiriki kuniita mimi poyoyo? Jiangalie!

wewe leta ushahidi wa uwezo wa jeshi na si kuleta utoto hapa.

Angalia usije paliwa na hilo povu manake......daaah.

hili la njaa utakosa tena ushahidi na mwisho uibue jingine.

Baada ya kukuwekea viunganishi sasa nakuwekea na video kabisa.


kwa akili yakonimeona unawezakusema kuwa korea ya kasikazini haina teknolojia kisa raiswao ananyoa kiduku.

Haina teknolojia kulinganisha na nani? Tanzania au Marekani?

kifupi umejidhalilisha sana kwa mchano wako huu.

Wanchekesha wewe.

nilikuwa nakuheshimu sana kumbe ni mweupe hivi kichwani.

Kama nakuona vile ulivyovimbisha mashavu na kufura.

this statement itself is a tease. wapi nimefanya utani? wewe kweli ni balaa.

naamini huenda ikawa ni kweli kuwa Tanzania ndio inaongoza duniani kwa kuwa na wetu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria na wewe utakuwa mmoja wao.

Hebu soma hizo habari za njaa za North Korea. Ukimaliza angalia hiyo video ya YouTube. Kama unataka ushahidi zaidi nambie nikuwekee. Sawa?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwani kazi ya mwanajeshi ni kupigana vita tu?? Hayo mazoezi sanasana yanaongeza ukakamavu, hizo drones zingekuwa ndio kila kitu basi kusingekua na haja ya kwenda depo (mind you hata US, UK wanapelekwa depo kwa ukakamavu kwanza). hivi mkuu wanajeshi wakitekwa, wakanyang'anywa silaha unafikiri wanatumia njia gani nyingine kujiokoa wao kama wao??? Serial Killings zote duniani zinahusisha drones na makombora makubwa makubwa?? Mfano mdogo Kagame hao wabaya wake anauwaua kila kukicha anawaua kwa njia gani?? Au Mkuu sana ulitaka wanajeshi wetu waache kuvunja matofali pale uwanja wa taifa wapige makombora??? hahahaha though its not funny lakini njia rahisi ya kutuonyesha jeshi letu lina ukakamavu ni kwa kufanya hivyo vitu, other things vinaonyeshwa kwenye butter-field
 

Kama walivoonesha kwa M-23.
 

Safari tamu wewe, hilo ni busha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…