Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,chi kavu au angani
naongeza hapo wanaitwa us navy seal commandos,ndo waliondoa uhai wa osama bin laden.ingawa hilo nalo linahitaji maelezo ya kina.ma-GT waliobobea ktk consipiracy theory watatujuza zaidi.SEAL=sea,air and land.
 
Hivi utaratibu ukoje ili kujiunga kwenye mafunzo ya ukomandoo?
usaili wa kwanza ni kuvunja chupa ya soda kwa mkono wa kushoto ama kulia,na baada ya kuivunja basi ni kuikanyaga kwa kusimama ktk vipand kwa guu moja,upo hapo
 
usaili wa kwanza ni kuvunja chupa ya soda kwa mkono wa kushoto ama kulia,na baada ya kuivunja basi ni kuikanyaga kwa kusimama ktk vipand kwa guu moja,upo hapo
.....na ile ya kukaguliwa tigo ili wajiridhishe kuwa wewe sio bwabwa :biggrin::biggrin::biggrin:.
 
Hivi utaratibu ukoje ili kujiunga kwenye mafunzo ya ukomandoo?

kwa sasa...., recruit course uwe na miaka kumi na nane(form 4 leaver) then unachaguliwa kwenda commando kama umekidhi vigezo kama physically very able na oustanding in a group..., kama utaingia kwa form six(20yrs-21yrs).., utafanya recruit when u stand out physically, u will b selected...,

Kiukweli wanahitaji viungo teke na wanahitaji very strong physical abilities and mental along...,

Kina mama msione npo biased lakn kwa jeshi letu hatuna commando wa kike.., hata kwny majeshi makubwa hakuna female commandos.., kwhy u can imagine the physical ability one needs to qualify.., wale wa ghadafi sjajua level yao maana commandos pia wana levels.., hapa tz tuna level 1,2,3 na masters level commando..., asa ukimkuta mwenye masters commando ni balaaaaaa...,
 
commandos are trained to deal with resitance.tafsiri ya kiswahili isiyo rasmi:wamefunzwa kukabiliana na vikwazo.kwa hiyo kama unabisha kajaribu!
 
.....na ile ya kukaguliwa tigo ili wajiridhishe kuwa wewe sio bwabwa :biggrin::biggrin::biggrin:.[/QUOT

Mwanajeshi yeyote lazma amekaguliwa tigo.., ni vitu vya kawaida na kuna maana nzuri tu na sidhani ni mambo ya kucheka!! Sio tigo tu ni full body check-up...,
 
Unatakiwa kusign fomu ya kifo kwanza.

usaili wa kwanza ni kuvunja chupa ya soda kwa mkono wa kushoto ama kulia,na baada ya kuivunja basi ni kuikanyaga kwa kusimama ktk vipand kwa guu moja,upo hapo

kwa sasa...., recruit course uwe na miaka kumi na nane(form 4 leaver) then unachaguliwa kwenda commando kama umekidhi vigezo kama physically very able na oustanding in a group..., kama utaingia kwa form six(20yrs-21yrs).., utafanya recruit when u stand out physically, u will b selected...,

Kiukweli wanahitaji viungo teke na wanahitaji very strong physical abilities and mental along...,

Kina mama msione npo biased lakn kwa jeshi letu hatuna commando wa kike.., hata kwny majeshi makubwa hakuna female commandos.., kwhy u can imagine the physical ability one needs to qualify.., wale wa ghadafi sjajua level yao maana commandos pia wana levels.., hapa tz tuna level 1,2,3 na masters level commando..., asa ukimkuta mwenye masters commando ni balaaaaaa...,

Duh, kumbe sikwalifai..!
 
kushinda vita yeyote kunategemea mambo3 ya msingi! 1Uchumi wenu, 2Siasa yenu, 3Mbinu zenu.
Kubonda tofali kwa kichwa sio issue! Siku hizi kuna Grid positioning, unakunywa kahawa wenzio wanakuona! Vita ya Irag masaa3 ya mwanzo irag ilipoteza vifaru300 jangwani!.....
 
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,

Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china

Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa

Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....

Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,

Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,

Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!

Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti

Moshe dayan wewe ni bingwa wa mambo haya. Hongera sana kwa somo mkuu!
 
Ukitaka kuwajua makomandoo wa bongo kama ni wazuri au nyanya unaweza kuwapima kirahisi sana. Jikusanyeni kama watu 200 hivi halafu mvamieni mmoja akiwa peke yake. Baada ya jaribio hilo watakaonusurika watawasimulia marehemu mstakabali wa makomando wa bongo. Uganda walifanya majaribio mwaka 1978. Uchokozi wao ulisambaratisha kabisa majeshi yote ya Uganda na Raisi Idd Amini dada aliachiwa njia akimbie japokuwa makomandoo wetu wangeliweza kumkamata
 
sjaelewa unamaanisha nn unaposema grid positioning..., wamaanisha global positioning system? aka GPS?
 
unajua watu lazma waelewe kitu kimoja.., commando ni kama daktari bingwa..., haijalishi amesomea tanzania au saudia au marekani au popote..., akishakua specialist ni specialist full stop!
 
unajua watu lazma waelewe kitu kimoja.., commando ni kama daktari bingwa..., haijalishi amesomea tanzania au saudia au marekani au popote..., akishakua specialist ni specialist full stop!

Ndiyo, nakubaliana nawe kwamba utaalam wa ukomandoo unafanana. Ila nadhani kuna kutofautiana kulingana na vifaa. Makomandooo wa kimarekani au kiisraeli watakuwa na vifaa vingi na bora zaidi kuliko wetu wa bongo. Kwa hiyo utendaji wa wale wengine waweza kuwa bora zaidi kuliko makomandoo wetu.
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.
Haa haa haa!!! Mkuu unaonekana huwezi kutofautisha hizi acting za sinema nk.. na ukweli
 
UNAJUA KUNA BAADHI YA MAMBO YA HAWA MAKOMANDO NI MAGUMU KUJULIKANA KILA MTU...Ila amini kazi wanaiweza.Unamkumbuka yule komando wa jwtz aliyepigwa RISASI kifuani ikatokezea mgongoni?asingekuwa komando angekufa.....huwa anaonekana sana TBC1.Mungu akijaalia angalia vipindi vya kesho utajifunza kitu.Usiwaone et ni wa tz ukajua poyoyo...utakufa ndugu.

Mh! Kwa hiyo ukiwa comando hufi au? Hapo sijakuelewa
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
 
Back
Top Bottom