Don't be fooled brother, hao jamaa ni wazuri sana kijeshi pia. Itoshe tu kusema hivyo
ok! sawa
Don't be fooled brother, hao jamaa ni wazuri sana kijeshi pia. Itoshe tu kusema hivyo
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,
Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china
Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa
Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....
Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,
Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,
Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!
Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti
Napingana na wewe Mkuu makomandoo wa tanzania wanatumia AK 47 and above...see the picture below....Jua tu mafunzo yote ya kijeshi ni ya aina moja, nikimaanisha mvitabu vinavyoyumika hapa ndivyo wantumia USA, RUSIA , GERMANY, FRANCE na kwingineko. Majeshi huzidiana ktk vifaa,mazoezi, molali, utayari wa mapambano na matunzo. Mafunzo ya komandoo wa tz ni bora hata kuliko hao wa nchi za magharibi ila vifaa ndivyo hatuna. Angalia hata bunduki wanazotumia makomandoo wetu SMG, hii si bunduki bora kw komandoo anayefanya kazi ya askari wa kawaida 9.
Ushauri nenda JKT ukapate walau hints za kijeshi.
Nakubaliana na wewe lakini wakati mwingine pamoja na uchumi kuna vitu vya ziada kwani Somali kumzidi Marekani ni kwa sababu ya uchumi? Na habari ya top ten ya majeshi siwezi kuiamini sana kwa sababu mambo ya ulinzi wa nchi huwa ni siri hivyo tathmini inaweza isiwe rahisi ki hivyo! maoni tuu mkubwa
hata kuwa skilled inategemeana katika nyanja gani, hata kutembea kwa miguu kunahitaji uchumi?
fakenology wacha kutudanganya TZ ni ya sita Africa kwa kuwa na jeshi bora gonga link below....tuache kupigana kamba.
kulingana na uchumi tulionao tz si rahisi kuwa na watu ambao ni skilled compare to those owned by NATO kama wanajamvi wengine wanavyonadi.
juzjuz kuna mtu alipost thread moja inayoelezea majeshi imara top ten africa tz hatupo.
tuache stori za magenge ya kahawa za kupoteza muda.
weak economy = weak army.
najua kuna wenye akili za kuvukia barabara watabisha 2
Makomando wetu ni wamaonyesho kwenye dhifa za kiserikali tu.
Kupasua tofali kitu cha kawaida tu.
Dont be fooled.
They r jst for show.
mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.
Makomando wetu wana mafunzo mazuri na wapo fiti sana,kenya kama wangeomba msaada tanzania kwenye tukio la westgate kazi ingeisha siku ileile jeshi la kenya wanavifaa vingi lakini dhaifu sana.M23 ya congo,vita ya liberia,comoro nk. wote wamesambaratishwa na makomando wetu. Mara kadhaa wanajeshi wa marekani,uingereza,italy,france,china wamekuja kufanya mazoezi na wanajeshi(makomando) wetu hii ni kuonyesha wanakubalika nje ya afrika kwa umahiri wa kupambana kwenye vitaWakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.
Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.
Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?
Teh,jamani eeh,kila binadamu ni komandoo kiasili,hii ni kwa misingi ya uvumilivu,ujasiri,nguvu na utumizi wa akili kulingana na mazingira na uhitaji...nani anabisha? Chunguza maisha yako utagundua kama wewe ni komando au sungusungu.
Nimeamini kwamba sisi binadamu si wa kawaida Juzi!
Usiku wa kuamkia juzi Sikulala kabisa, nilijipumzisha kitandani naangalia TV, ilipofika saa 9:50 usiku nikaanza safari kwenda Sengerema Mwanza kutokea hapa Dar! Saa 10 nilikuwa nakatiza Ubungo mataa! Nimeendesha kutwa nzima nilisimama Dodoma tu si zaidi ya dakika 10! Taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimeangalia Sengerema! Na sikuwahi kuendesha umbali mrefu zaidi ya Chalinze! Sikuchoka wala kusinzia njiani! Sijui Ujasiri na uvumilivu huo ulitoka wapi!
afu kwa mambo kama haya sio rahisi kujua ufanisi wao hadi ufahamu wanatumikaje na wapi., na walitumikaje huko nyuma.., kuna thread hapa nimesahau heading nilichangia kuhusu co-ops(covert operations) ambazo tanzania imewahi kuzifanya bila wananchi wengi kufahamu...,
sasa kwny hz co-ops makomando ndo their specialty.., we have done a lot of co-ops kukomboa nchi za kusini mwa afrika including kufundisha sabotage(kuharibu miundo mbinu kwa milipuko).., assasinations of key members of the colonial powers, organizing movements covertly, etc
hyo field ni ya makomandoo chini ya makamanda
ulifanya jambo la kipuuzi sana na usirudie