mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
Komando kipensi..
Hao hapo
KKJ
Hawa Jamaa wako fit sana, niliwahi kuona Coverage ya mazoezi yao mwaka jana kwenye Maadhimisho ya JWTZ Kupitia Kituo cha TBC, Ilikuwa nzuri na baadhi yao walihojiwa pia.
Hawa jamaa ndo walokuwa wanapasua tofari za cement kwa kichwa! Mi nna mashaka na ratio yavmchanga na cement walotumia kutengeneza hizo tofari. Mi naomba mwaka huu wachukue zile tofari ndogo wanazotumia kampuni ya strabag kutengeneza njia ya waenda kwa miguu. Naamin ndo itakuwa siku utakayo muona komandoo wa bongo akitoka nduki. Vile vidude nomaa. Halaf kitue kwenye ndonga! Lazma ugome kula or else nduki ndo salama yako.
Nalila na masumanda komandoo Kalalaa,hao ndio makomandoo wa bongo
My understanding ni kwamba wanaangalia prostate... au pia wanakagua kama tigo iko tight?.....na ile ya kukaguliwa tigo ili wajiridhishe kuwa wewe sio bwabwa :biggrin::biggrin::biggrin:.[/QUOT
Mwanajeshi yeyote lazma amekaguliwa tigo.., ni vitu vya kawaida na kuna maana nzuri tu na sidhani ni mambo ya kucheka!! Sio tigo tu ni full body check-up...,
sio hivyo... i wanted to be clear kwasababu hiyo dhana iko widely used bila kusema kwanini watu wanachuchumaa na kupimwa
Daah najua ila kupimwa oil na mwanaume mwenzio kibongo bongo haiingii akilini ujue?
Haaaaaa Komando JIDE na Komandoo Hamza Kalala
Komandoo ni komandoo tu
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.
Nalila na masumanda komandoo Kalalaa,hao ndio makomandoo wa bongo
Nalila na masumanda komandoo Kalalaa,hao ndio makomandoo wa bongo
.....na ile ya kukaguliwa tigo ili wajiridhishe kuwa wewe sio bwabwa :biggrin::biggrin::biggrin:.[/QUOT
Mwanajeshi yeyote lazma amekaguliwa tigo.., ni vitu vya kawaida na kuna maana nzuri tu na sidhani ni mambo ya kucheka!! Sio tigo tu ni full body check-up...,
nasikia unainama unagusishwa penseli ikipenya kazi imekushinda
nasikia unainama unagusishwa penseli ikipenya kazi imekushinda
Teh teh teh. .....
Hiyo Ratio ndogo changanya na wewe kisha vunja.Hawa jamaa ndo walokuwa wanapasua tofari za cement kwa kichwa! Mi nna mashaka na ratio yavmchanga na cement walotumia kutengeneza hizo tofari. Mi naomba mwaka huu wachukue zile tofari ndogo wanazotumia kampuni ya strabag kutengeneza njia ya waenda kwa miguu. Naamin ndo itakuwa siku utakayo muona komandoo wa bongo akitoka nduki. Vile vidude nomaa. Halaf kitue kwenye ndonga! Lazma ugome kula or else nduki ndo salama yako.
Yaani vile vimazoezi ndio unaongelea eti komandoo?
Dunia ya sasa nani anapasua matofali? Nani ana angushwa na parachuti directly eneo husika? Nani atakutandika fimbo hadi ivunjike? Uliona ndege zina zunguka ovyo ovyo!!
Jenga tabia ya kuangilia BBC swahili, CNN, Al jazeera uone midude!
Russia, USA, nk wanakupiga huku jamaa (mrusha mzinga)anakoroma usingizi mzito.
kaka jamba zile muvi za kina komandoo john zisikutishe ukafikiri kuwa makomandoo wana ujasiri ule.Rambo mwenyewe alishakiri kuwa yeye ni mwoga wa kufa vibaya sana.
Naamini kabisa kuwa na makomandoo wetu wapo fiti kabisa ila tatizo ni vitendea kazi kama vya wenzetu.
Nalila na masumanda komandoo Kalalaa,hao ndio makomandoo wa bongo