Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?

Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri. Unaposema "mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa" unamanisha nini?? ni mafunzo yapi ndio "yale yenyewe"... Huwezi ukaambiwa/kujulishwa "protocol" za mafunzo ya kijeshi. Hiyo ni siri ya jeshi. Kama unataka tukujulishe vizuri njoo pale NGOME [Makao Makuu ya Jeshi] ili uelimishwe. Njoo Jumatano sa 2 asubui...
 
Israel commandos are the most dangerous! Makomandoo wa tanzania wanapoenda kuwa trained nje ya nchi,huko hawapewi ujuzi wote,a teacher does not provide entire discernings to his students,so hawapewi maarifa yote! So makomandoo wanatofautiana ktk ujuzi,huwezi kufananisha navy seal na komandoo wa tz,navy seal ni zaidi,maana sisi ni nchi changa,tunafundishwa tu,then tunajidai eti tunaweza kama wengine hilo halipo ndugu zangu.
 
Mkuu umeshawahi kukaa na kujiuliza kwa kina juu ya hayo unayosema?
Nataka nikwambie hivi sema haya mambo ni Mara nyingi Sisi raia Hatuwezi kuyajua!

Navy Seal ni kikosi maalum chenye Askari wawezao kupambana angani nchi kavu na majini na pia ata Mapambano ya ana kwa ana! Na Hawa ndio inasemekana kua humlinda rais akiwa ziara nje ya nchi! Na pia hufanya opareshini maalumu iwe ya kuokoa Au ya namna ingine!

Kwa kawaida ya majeshi lazima kuwe na vikosi maalumu! Kwahiyo ata hapa kwetu naamini kuna vikosi maalumu kwa opareshini! Tofauti unaweza ukaipata ni kwenye zana za kijeshi! Wenzetu wana zana za kisasa ambazo ata wakiwa ktk oparesheni zinamsaidia kumlinda Zaidi!

Mfano opareshini ya Navy Seal kwa Osama bin Laden! Wale Askari walikua na sapoti kubwa sn nyuma Yao kutoka juu majini na nchi kavu na ata zana zao zilikua nzuri!
 
Makomando wetu ni wamaonyesho kwenye dhifa za kiserikali tu.
Kupasua tofali kitu cha kawaida tu.
Dont be fooled.
They r jst for show.
 
Mara nyingi they hide themselves as MPs. Ila kitu cha kuangalia sana ni zile kofia wanazovaa. Nyekundu ni redi beret ambao wanatofautiana na wale wenye nyeusi, amphibians. Wote ni makomandoo. Ubora wao unategemea mambo mengi ikiwemo msosi na vinywaji wanavyokunywa. Ukinywa gongo ukaruka na parachute, si utajitapikia mpaka uchanganyikiwe.
Umenichekesha sana mkuu
 
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?
Mkuu ukienda mtwara kawatafute wale waliochoma ambulance watakuambia...
 
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?

Mkuu zile za kwenye movie ni uwongo kuna a lot of effects pale ambazo sio real
 
tuache kupigana kamba.
kulingana na uchumi tulionao tz si rahisi kuwa na watu ambao ni skilled compare to those owned by NATO kama wanajamvi wengine wanavyonadi.
juzjuz kuna mtu alipost thread moja inayoelezea majeshi imara top ten africa tz hatupo.
tuache stori za magenge ya kahawa za kupoteza muda.
weak economy = weak army.
najua kuna wenye akili za kuvukia barabara watabisha 2

Nakubaliana na wewe lakini wakati mwingine pamoja na uchumi kuna vitu vya ziada kwani Somali kumzidi Marekani ni kwa sababu ya uchumi? Na habari ya top ten ya majeshi siwezi kuiamini sana kwa sababu mambo ya ulinzi wa nchi huwa ni siri hivyo tathmini inaweza isiwe rahisi ki hivyo! maoni tuu mkubwa

hata kuwa skilled inategemeana katika nyanja gani, hata kutembea kwa miguu kunahitaji uchumi?
 
Kwa hiyo unaamini kuwa Somalia imeizidi Marekani? Hii ni mpya
 
Jua tu mafunzo yote ya kijeshi ni ya aina moja, nikimaanisha mvitabu vinavyoyumika hapa ndivyo wantumia USA, RUSIA , GERMANY, FRANCE na kwingineko. Majeshi huzidiana ktk vifaa,mazoezi, molali, utayari wa mapambano na matunzo. Mafunzo ya komandoo wa tz ni bora hata kuliko hao wa nchi za magharibi ila vifaa ndivyo hatuna. Angalia hata bunduki wanazotumia makomandoo wetu SMG, hii si bunduki bora kw komandoo anayefanya kazi ya askari wa kawaida 9.

Ushauri nenda JKT ukapate walau hints za kijeshi.
 
Imemzidi katika nini kaka au mradi kubisha? Marekani kamzidi Somalia kila kitu lakini siyo sababu ya kushinda kijeshi kwani si alipigwa au hujui? vitani chochote kinaweza kutokea hata uenyeji tuuu! Kukosea battle appreciation pia inaweza kuwa sababu ya kushindwa. ni hivyo tuuuuuu
 
Jua tu mafunzo yote ya kijeshi ni ya aina moja, nikimaanisha mvitabu vinavyoyumika hapa ndivyo wantumia USA, RUSIA , GERMANY, FRANCE na kwingineko. Majeshi huzidiana ktk vifaa,mazoezi, molali, utayari wa mapambano na matunzo. Mafunzo ya komandoo wa tz ni bora hata kuliko hao wa nchi za magharibi ila vifaa ndivyo hatuna. Angalia hata bunduki wanazotumia makomandoo wetu SMG, hii si bunduki bora kw komandoo anayefanya kazi ya askari wa kawaida 9.

Ushauri nenda JKT ukapate walau hints za kijeshi.

Hongera, kuna watu wanajadili tu kwa sababu wanajua kubisha, umetoa ushauri mzuri! wahenga walisema usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Kwa hiyo unaamini kuwa Somalia imeizidi Marekani? Hii ni mpya

Pia baadhi ya vitu kama indurence, na maisha ya msituni wasomali wanaweza kuwazidi wa Marekani! Kwa mfano wamarekani walishangaa sana zoezi la underfire lililofanywa na watanzania kwenye mafunzo ya pamoja yaliyofanyika Kenya pamoja na ubabe wao!
 
Don't be fooled brother, hao jamaa ni wazuri sana kijeshi pia. Itoshe tu kusema hivyo
 
Back
Top Bottom