Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Haaaaaa Komando JIDE na Komandoo Hamza Kalala
Na makomando wa kibababaah
Haaaaaa Komando JIDE na Komandoo Hamza Kalala
Nimeamini kwamba sisi binadamu si wa kawaida Juzi!
Usiku wa kuamkia juzi Sikulala kabisa, nilijipumzisha kitandani naangalia TV, ilipofika saa 9:50 usiku nikaanza safari kwenda Sengerema Mwanza kutokea hapa Dar! Saa 10 nilikuwa nakatiza Ubungo mataa! Nimeendesha kutwa nzima nilisimama Dodoma tu si zaidi ya dakika 10! Taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimeangalia Sengerema! Na sikuwahi kuendesha umbali mrefu zaidi ya Chalinze! Sikuchoka wala kusinzia njiani! Sijui Ujasiri na uvumilivu huo ulitoka wapi!
Na ndio maana mkuu miezi miwili miwili ilopita komandoo (inasemekana mwalimu) alimtandika mtu mbagala huko na kumuua! Na waliokua wanashuhudia jamaa akishushiwa kipondo hawakuthubutu kusogea eneo la tukio kuamulia ugomviSjajua ujuzi wako kimapigano but i advice u..., usijaribu kupigana na commando hata kama ni mzee kama mzee balati..., wale ni exceptional.., hv, unajua limit ya entry age ya commando? Na kwnn unafkiri wamefanya hvo??
huyo ni bro anakaa banana
Sjajua ujuzi wako kimapigano but i advice u..., usijaribu kupigana na commando hata kama ni mzee kama mzee balati..., wale ni exceptional.., hv, unajua limit ya entry age ya commando? Na kwnn unafkiri wamefanya hvo??
Kwa hiyo unaamini kuwa Somalia imeizidi Marekani? Hii ni mpya
achana kabisa na vijana wa 92KJ
Mmhh interesting!!!!!!!
makomandoo wa tz ni noma hata wazungu huenda hawaingii. mm nina kaka yangu ni komandoo yaani hata kama cruiser iko spidi ya 100k/saa yeye anweza kuruka au kudandia hilo gari. na suala la kuruka kwenye ndege hilo ndilo usiseme. anaweza kusihi baharini for long time na bila any equipment and no food. na hata akiruka kwenye gari ambalo mliko na spidi hiyo anaweza kushambulia adui while yuko ktk process ya kushuka kwenye gari. hawa jamaa sio mchezo. ukiona commando ambaye ana mabawa full kwenye shati lake mwogope sana maana ni full commando. suala kumkuta yuko chumbani bila kujua kaingiaje n ni suala la kawaida.
kwa kuwakumbusha tuu ni kwamba kuna komando alikuwa mara kwa mara akitaka kuonmgea na rais ikulu alikuwa anaingia ikulu bila hata walinzi kujua na rais alikuwa anshnaga jama kesha ingia ndani kwake...ni wakati wa nyerere lkn hata wkt wa mwinyi.
these our comandoos are dangerous my friend, dont dare to play against them....