Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

Ushindwe na ulegee by the Name of Jesus Christ. Hunipati ng'o utawapata wajinga wajinga tu. Mimi nina mizizi mkuu
Mwenyezi Mungu anasema 'nyie ndio mnae mlinda Mungu wenu mnae muomba awaokoe/awasaidie ! Sijui umeelewa hapo! Yaani tengeneza msalaba wa dhahabu halafu wajulishe mateja..................!
 
Vingi vilivyosemwa hapo juu ni sahihi lakini mumesahau kusema kwamba vikosi vya makomandoo mara nyingi wanaandaliwa kwa ajili ya shuguli maalumu na malengo maalumu lakini hayo zaidi yanatekelezwa na nchi za ulaya na marekani kwa sababu wanamipango ya muda hbbmrefu dhidi ya mataifa mengine kama iran , north korea , uchina na urusi komandos wale ni tofauti na wale wanaolinda mipaka ya marekani haswa ndani ya marekani yenyewe , ni tofauti pia na hawa wa africom komandi ya marekani afrika .

Acha mapigano pembeni hayo watu hufunzwa na kufunzika lakini lililomuhimu ni kwenda na wakati na kutumia vifaa vinavyotakiwa kwa wakati unaofaa , sasa hivi marekani ina drones kule jiboti na viwanja vingine vya ndege vya siri kwa ajili ya mashambulizi sehemu yoyote ya afrika haswa afrika mashariki na magharibi how are we prepared kwa muda mrefu ujao ?

Yule aliyeshikilia tekonologia na uchumi ndio bingwa wa dunia - ni wakati wa kufikiria kama taifa tunaenda wapi na tuzidi kuboresha vyombo vyetu vya usalama na kuweke watu stahili kwenye vyombo hivyo na sio kupasua mawe , au kuruka sarakasi - kama nilivyosema wenzetu wameleta drones pembe ya afrika .

Mkuu big up! Hapo umenena!
 
Mkuu hakuna aliabisha kuwa Azam na Barca wote wako ligi kuu.
Tofauti unakuta Ulimwengu katokea TFF ACADEMY wakati Mesi katoka BARCELONA ACADEMY
Ila wale wa ukomando huchukua mafunzo pamoja na wanaweza kufanya kazi pamoja bila
wasiwasi.
 
Kwa nini tunaanza kuingilia maswala juu ya ujasiri wa jeshi letu.Wale jamaa wasingekuwa fit nadhani JWTZ wasingewapeleka pale.Pia tofautisha makomandoo wa picha na makomandoo halisi.
 
Actually kama ni commando wa ukweli hatatufanya lolote maana wamefundishwa kutokutumia mafunzo yao kwenye masuala yasiyo ya kivita.

Hii naafiki kabisa kwani hata wacheza martial arts (karate, taekwndo, kung-fu, etc) wazuri sio watu wakukurupuka kupigana hovyo kwa visa vya kutaniwa au kuchokozwa hovyohovyo!!!

Hawa uanowaona wanajifaragua kwenye daladala wanatunisha vimisuli ni wanaojua kurusha mateke tuu na ngumi mbili tatu (wakati mwingine mimi na wewe twaweza kuwa wakali zaidi yao)
 
Watu wabishi yaani, yaani unaringanisha komandoo wa sinema na wale wa halisi???
 
ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,chi kavu au angani


Nani aliekudanganya? Ili uwe Komando lazima uweze kupigana angani na majini na nchi kavu! Usiwaone hao! Wanaweza kuruka kutoka kwenye ndege na kuogelea kwenye Maji akiwa na Peki mgongoni na silaha tena akiwa amevaa buti! Acha kabisa hao sio watu Wa kawaida!
 
Mwenyezi Mungu anasema 'nyie ndio mnae mlinda Mungu wenu mnae muomba awaokoe/awasaidie ! Sijui umeelewa hapo! Yaani tengeneza msalaba wa dhahabu halafu wajulishe mateja..................!

Hahahaha unawezaje kumlinda yule unaye muomba akuokoe? Ikiwa yeye mwenyewe anahitaji kulindwa je atawezaje kukuokoa?
 
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,

Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china

Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa

Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....

Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,

Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,

Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!

Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti
tofali hulivunjwi kwa kichwa labda uwe mchanga ulkusanywa katika umbo la tofali kwa kutumia saruji dhaifu kinyume cha hapo utatoka nundu ya kumbukumbu -wahenga walisema mpiga ngumi ukuta ........!
 
Amestaafu yupo ikulu,yule mzee noma hapiti getini wala mlangoni yy ni ukuta na dirisha,hapandi ngazi wala lift
unakumbuka ile ajali ya train alipoulizwa akasema hakumchukua yule mtoto ili amuokoe bt alitaka aongeze uzito kukinzana na upepo pindi alipokua anaruka kwny train

Ahhahahahahahahha
 
makomandoo wa tz ni noma hata wazungu huenda hawaingii. mm nina kaka yangu ni komandoo yaani hata kama cruiser iko spidi ya 100k/saa yeye anweza kuruka au kudandia hilo gari. na suala la kuruka kwenye ndege hilo ndilo usiseme. anaweza kusihi baharini for long time na bila any equipment and no food. na hata akiruka kwenye gari ambalo mliko na spidi hiyo anaweza kushambulia adui while yuko ktk process ya kushuka kwenye gari. hawa jamaa sio mchezo. ukiona commando ambaye ana mabawa full kwenye shati lake mwogope sana maana ni full commando. suala kumkuta yuko chumbani bila kujua kaingiaje n ni suala la kawaida.
kwa kuwakumbusha tuu ni kwamba kuna komando alikuwa mara kwa mara akitaka kuonmgea na rais ikulu alikuwa anaingia ikulu bila hata walinzi kujua na rais alikuwa anshnaga jama kesha ingia ndani kwake...ni wakati wa nyerere lkn hata wkt wa mwinyi.
these our comandoos are dangerous my friend, dont dare to play against them....
Hadithi yako nimeipenda,inatufundisha nini?
 
Hivi hawa makomandoo si wanajua kila kitu?, watusaidie basi kuunda timu ya taifa ya futbol na sisi twende Woldi Kap mwanawane.
 
Komandoo Hamza Kalala,

Komandoo Lady Jay Dee!
 
Tamim alikuwa Komandoo na aliasi kwa mujibu wa madai ya wabaya wake, usalama wa taifa. Alitoroka jeshi baada vita vya kagera na alikimbilia Kenya, alirudi kuungana na makampten waliopanga kufanya mapinduzi, akina Hans Pope, Maganga na Mac Ghee.

Mkuu mie Ni wa kizazi cha karibuni, huyu Hans Pope ndo Yule wa malori ya mafuta, mdau mkubwa wa Simba na aliyekuwa champion wa mgogoro wa mafuta?
 
Nasikia kuna wenye uwezo wa kufungua soda kwa jicho.
 
acha uongo,wenye kofia nyekundu na MP,wenye kofia ya zambarau ni makomando,wenye kofia nyeusi ni kikosi cha mzinga,mabomu,vifaru,wenye kofia za kijani ni askali wa miguu,wenye kofia za brue bahari ni askari wa anga nk.
Hata hivyo makomando utofautia kwa alama ya bawa kifuani kuna wenye nusu bawa na kuna wenye full bawa na kuna wengine ni mabawa ya kuonesha urubani,hapo upo?

usituite waongo hatujui, vipi nikitaka kumshambulia raisi kwa ngumi mtanizuiaaje makomandoo? du utani lakini nisije ishie karanga!
 
Back
Top Bottom