Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

Moja ya thread ambazo zimekuwa very interesting kwangu binafsi. In short, the boys are extremely good and instead of underestimating thei capabilities, we should support them so that they could strive to become even more better. Hawa ni national asset na wanagharimu sana kuwatengeneza. Pengine way forward waandaliwe vijana watakaoweza kumudu na ukuaji au utumiaji wa technologia. Wanaofikiri jamaa ni wacheza movie, waendelee kufikiri hivyo hivyo.
 
wana mafunzo ya kiwango cha chini tu,hawafikii komando kama wa usa,coz nina mdau wangu ni komando wa jwtz,aliwahi shiriki mafunzo yaliokuwa yakiongozwa na usa army(africom)hapa tz,ali acknowledge usa army kwa surprise za mafunzo alizokuwa akiziona
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground

masihala, kama movie vile
 
tahnk you "moshe dayan" you have given me a reason and imani
 
Komandoo anajulikana kwa kuvunja tofari,kuruka magari na na kunyanyua nyuma vizito daa!!bado tuko mbali sana na wale uk na usa kwanza wale huwezi kuwaona kirahisi hata kwenye uwanja wa vita sembuse kwenye sherehe kwenye magwaride nani kasema???labda hawa wa kwetu,kwa maana ya komandoo ni yule mwenye uwezo wa kupigana akiwa ardhini,majini na angani,hawa mnaowaona wana nusu bawa la chuma,na wengine wana full bawa la chuma ni parachuters wako sangasanga -ngerengere,kwenye uwanja wa mapambano jeshi linapoona haliwezi kupita kirahisi na haraka mahali palipo na mito misitu mikumwa eneo kubwa la maji ndege huwachukuwa askari hawa kisha huruka na maparachute waangukie upande wa pili waendeleze vita.mabawa ya marubani wakati wote huwa ni ya vitambaa vya kufuma.
 
kulikua na programme nzuri sana tbc imeisha saizi ya covert operations na kongwa farm walipokua wanapikwa wapigania uhuru
 
Nimeanza kukuzoea lakini sidhani kama unaweza kuwa sawa sana, hata sisi Wakristo tunakuoneni mnaabudu kamungu kasikokuwa kastaarabu, kanakopenda majini,vurugu na mambo machafu machafu. Ok dini yako kaa nayo ila najivunia kuwa Mkristo,. Na sitegemei kuvutiwa na upuuzi mwingine wowote. Mwisho wa siku tutaona ni nani yuko wrong way. Karibu utakaswe akili uwe kiumbe kipya
'Na wameishika miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili wapate kusaidiwa nao ! Hawawezi (hao miungu) kuwasaidia. Wao hao (wanaowaabudu) ndio wanaokuwa maaskari wa kuwalinda (hayo masanamu yao):Quran; 36:74-75
Hakika amri yake anapotaka chochote ni kukiambia: 'Kuwa' basi mara 'Huwa' Ametukuka yule ambaye mkononi mwake umo ufalme wa kila kitu na kwake mtarejeshwa wote!. Quran; 36;82:83.
 
Inafurahisha kusoma maoni mbalimbali ya watu..wenye mitazamo mbalimbali..Anyway, hapa ni jamvini..

Kujua utamu wa ngoma inabidi uingie na ucheze... Kumbuka Komando atabaki kuwa komando wa nchi yake kwani utii wake umechapwa ndani ya moyo wake (yaani kutoa moyo na maisha yake kwa taifa lake) ...ni mfumo wa maisha hivyo kuna mambo mengi kuliko mnavyofikiria na kulinganisha na stori za sinema na propaganda za TV.. ukweli hausemwi wala kuonyeshwa..
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Mh! mh! mh! Hizi ni propaganda za waziri wa Habari wa Iraq Enzi za SADAM HUSEIN
 
Mnajenga misuli, jengeni! Mnapasua matofali kwa vichwa, pasueni! nunueni silaha chakavu na kugeuzwa damping ground sawa! mnafanya magwaride makubwa makubwa, sawa! Lakini si vibaya kukumbuka kwamba nchi yetu ni ya3 kwa kuomba omba Duniani na ya kwanza ktk Afrika kwa taaluma hiyo! si mbaya kwa ukomandoo huo! Mwisho wa siku watoto wetu wanakalia mawe darasani, mkifa sanda viroba, badala ya kununua dawa tunaboresha na kuongeza vyumba vya maiti! daah, kweli kupanga vipaumbele tumechagua! Natuendelee kufuga simba akikosa nyama atutafune......
Duh Great! Mkuu umewaza kuanzia wenzio walipoishia.
 
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
Hii ni burudani nyingine ndani ya JF yaani unapokuwa Busy kwa saaana
anatokea mtu anakuburudisha. Duh hii chachandu kiboko!
 
jamaa kwa kweli wanaonekana kuwa vyema kimafunzo, hivi wanavyopasua matofali kuna mbinu yeyote wanatumia ama ni ukomavu tu? Manake nimetoka kujaribu, kidogo vidole vivunjike na tofali halijapata hata ufa..
Ha ha ha haaaaaaa Uweke mchanga kwenye moto kwa dakika180 kisha uwe unaweka viganja vya mikono
humo kwa dakika 1 siku ya kwanza dk 2 siku inayofuata dk 5 siku ya 3 mpk ya 10 halafu baada ya hapo
uwe unaweka saa mzima na zaidi, hapo utapasua tofali.
 
hivi hawa si wale waliocharangwa mapanga na wananch na hatimae kutimua mbio kule kwenye ugomvi wa ardhi wazo hill
We unazungumzia Makomando wa jiji((CSC) CITY COMMANDOS SPECIAL FOR CHINGAS) wenzio tunazungumzia wale wa jeshi.
 
Ndahani Sir, kula TANO with thumb up..!! Tunahitaji wazalendo wenye mawazo chanya ya maendeleo badala ya kukatisha tamaa. These people are doing best kwa kiwango chetu na Region. Siyo sahihi kuilinganisha TZ Vs USA like wise Barca Vs Azam FC, hapo hakuna ratial. Chukua TZ Vs Kenya or Zambia likewise Mtibwa Sugar FC Vs Better Bullets FC or SOFA PAKA, hapo utakuwa fair...Mind huo ndio mtizamo wangu ...
thanx ...!
 
Mkuu isije ikawa uliyoyaona ni kwa ajili ya TV show!

Mbona akina kanumba wanaweza kuigiza kwenye majumba na magari ya kifahari?
Mkuu Maigizo ni maigizo tu, Na kitu kikiwa real ni real. Kwani huwezi kutofautisha maigizo na Real? Rambo, Schwarznager na nyinginezo, Mfano ukiangalia Training za Navy seals unajua kabisa kwamba hizo ni real , na kwa kuwa inaonyesha wanaoshindwa na jinsi wanavyopewa nafasi za ku-improve. Acting huwa ni ushindi kwa kwenda mbele (Kama Rambo).
 
ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,nchi kavu au angani

in red...
hivi Mullah Omar alivyowatoroka wamarekani wakiwa wamemzingira kule Afganistani tena na pikipiki ilikuwa in blue...
mkuu sijakuelewa unaongelea uwezo upi?
 
Nasikia hata wale wanao walinda Marais n makomandoo..mfano hawa wa sasa wanaovaaga vi headphone masikion, yaan et wanao uwezo ikipigwa risas wakaruka juu kwa juu na kui punch....afu majuz kati niko kwa 5 5 nasikia dingi flan anasema kuna siku walishawai kumpiga mtama Nyerere, bas ile ding anaamka kwa hasira kuuliza kulikon wanamwambia yaan hapo tayar risas imekukosa....daaaaah! nawatamania kishenz.
 
Back
Top Bottom