secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,647
Unafata limbwata!?Nipo kwenye bus tayari, naelekea kwa babu na malighafi kwenye kichupa
Unafata limbwata!?Nipo kwenye bus tayari, naelekea kwa babu na malighafi kwenye kichupa
Ni binadamu sema yemegeuka mapepoHata wacheza porn wengi ni mapepo katika sura za kibinadamu
Nadhani jamaa alifanikiwa kumwaga story ndio maana na ww umetupa hapa kupitia kwa pgKuna simulizi ya kweli ya jamaa mmoja nilisikia Clouds kwenye PB,jamaa alipanda Daladala ,kwenye siti akakaa karibu na demu mmoja mzuri sana kavaa hijabu,Jamaa akasema uzalendo ukamshinda akamuuliza jina akatajiwa wakaendelea na stori demu alipofika kwenye kituo akataka kushuka jamaa akamuomba namba ya simu ila demu hakumpa akamwambia tutakutana tu
Anasema zimepita kama simu mbili hivi anaona simu ngeni inaingia,kupokea anauliza nani demu akasema ni mimi Fulani tulikutana kwenye daladala,Jamaa akashangaa sana akauliza namba zangu umepata wapi?demu akasema we potezea tu,basi jamaa hakujali sana maana demu alikuwa amemchanganya.
Jamaa akaanzisha uhusiano na demu ila alimpa masharti kadhaa,nadhani baadae alihisi huyu demu sio wa kawaida sasa akawa anataka awasimulie washikaji basi kila akikaa na washkaji alitaka tu kuanza kusimulia demu anapiga simu hapo hapo anamwambia najua unachotaka kuwaambia na ukisema utajuta kwa kitakachokupata.
Jamaa anasema alihangaika sana na hio hali sikumbuki mwisho ilikuwaje ila kwa ulichokisema Mshana naamini kabisa kuna watu tunakutana nao barabarani, kwenye mabasi,masokoni nk lakini sio binadamu kwahio tuwe makini sana.
Sasa tutaponea wapi wajameni?Huyo anaekujua ndio balaa mdogo wangu
Mkuu umejizatiti kuuchangia uzi kweli kweli.Kama haurogwi ujue hauna maajabu best....😁
Hili nalo linafikirisha sana. Nywele zetu saluni sijui huwa wanazipileka wapi?Haya mambo ukiwaza sana unaweza usifanye mishe zako.
Siku moja nimeingia saloon maeneo ya tabata barakuda.
Aliingia mama mmoja na heshima zake jamaa wakamkabidhi fuko umejaa nywele mother akasepa now.
Cha ajabu sikupata akili ya kuuliza kwa nini wanampatia mother mfuko nywele mpaka nilipofika home usiku ndio nakumbuka kuhusu hilo tukio.
Sio tu kuchangia na kuroga pia....Mkuu umejizatiti kuuchangia uzi kweli kweli.
Hamna pa kupona yaniSasa tutaponea wapi wajameni?
NilishachukuaUnafata limbwata!?
Duuh noma.....usitese mtu wa watuNilishachukua
Unataka ukamroge nani...Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....
Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Kama ndo hivyo aisee ngoja tu niamini maana kuna siku niliopoa malaya ana K inabana mpaka nilishangaa. Yani ule utamu mpaka leo sijasahau.hahahaahaaha kwa hiyo masela washagonga sana za mbuzi, kuku,ng'ombe, fisi nk dah hatari sana...Africa tamu sana sihami...
Kiongozi kwa hiyo ukioa/olewa huyo mwenza hayo mamikosi na maroho yanatokaje?Ni Ukweli usiopingika 100%
Kwanza mkuu Mshana Jr nikushukuru na kukupongeza kwa kutuzindua ufahamu juu ya jambo hili.
Mada zako huwa zinatuelimisha sana mkuu. Hivi Kuna watu humu wanachukulia mzaha jambo hili.
Mimi binafsi ni mpenzi sana wa kujifunza na kufatilia mada na masomo mbalimbali ya kiroho (spiritual)
Ni Ukweli usiopingika kuwa Tendo la ndoa ni AGANO. Mnapokutana mwanaume na mwanamke pale kwenye Tendo maana yake mnafanya AGANO mbali na kuuburudisha mwili, kwenye ulimwengu wa roho kuna vitu mnabadilishana, ikiwemo laana, mapepo, mikosi, mabalaa, nuksi baraka~(hiyo huwa nadra sana)
Ndio maana kuna mwanamke/mwanaume ukilala nae then ukaenda kwenye mipango yako inaharibika yoote, iwe kazi, biashara, interview, n.k kwa wale wanaofanya bishara nadhani wameelewa ninachomaanisha.
Ki Ukweli jamii sasa hivi ipo kwenye hari mbaya sana hususani kwenye masuala haya ya kiroho. Ni wachache sana tuliojitambua.
Guys, unapojamiiana na Mwanaume/mwanamke tambua kua umebeba laana kuanzia ya Bibi yake+ ya babu yake+ ya mama yake+ ya baba yake+ laana yake mwenyewe. Sikwambii kwenye mapepo,, sikwambii kwenye nyota inavyo chafuka (kismat).
Jiulize umelala na wangapi? Umebeba laana ngapi?
Umebeba ma-roho (mapepo) mangapi aliyokuachia?
Badilika sasa
Hao wanaojiuza wenyewe kutwa wanabadilisha waganga wakuwatengenezea makafara ya kuwavutia wateja wao, na mazindiko yenye maagano mbalimbali.
Mbegu zako unazommwagia zinathamani sana kwà mganga wake, siku utakayogeuzwa kizimba ndo utajua hujui. Haya mambo yapo usifikiri utani.
Ndio maana watu wengi utawaona wanakimbilia sana kwa waganga wakidai mambo yao yameharibika ghafla, wengine wanadai eti wamerogwakumbe tabia zao ndo zimewaroga.
Unalala na mtu hata humjui anapotoka, asili yake, ukoo wake, nyota yake.Kisa tamaa za mwili zimekutawala. Nakuombea Mungu akusaidie sana
Mungu alipo kataza zinaa hakua na maana kua anauonea donge mzigo wako hapana.
Zinaa mbaya jamani, itakuadhibu kimwili then ikumalizie kiroho.
Ushauri wangu kwa vijana na jamii kwa ujumla, tutulie kwenye ndoa zetu kama umeoa, kama bado hujaoa basi vuta subra mpaka utakapojaaliwa kuwa na mwenza sahihi.
Mungu akusaidie Sana Ufahamu![]()
Nakubaliana na wewe, kuna mwamba mmoja alikula demu maeneo ya mavota kumbe ni fisiWengine huwekewa mafisi![]()