Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Mi kuna kitu sijuagi kama nikweli naomba kuelimishwa. Eti mtu anayekula kitimoto na bia kila mara hawezi kuathirika na ushirikina? Na kwanini mtu akiwa amelewa ata apite sehemu hatarishi kwenye roho za kumdhuru hazimfanyi kitu? Naomba elimu hapa
Ushirikina haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro
Pesa iliyochanwa chanika mchawi hachukui au nguo ilichanwa/chanika
Mgonjwa au mlevi
Mlemavu nknk
 
Ushirikina haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro
Pesa iliyochanwa chanika mchawi hachukui au nguo ilichanwa/chanika
Mgonjwa au mlevi
Mlemavu nknk
Je vipi mtu ambaye anasumbuliwa na ivyo vitu mkamlisha kitimoto na bia za kutosha. Wajomba watakimbia au ndo watamuua
 
Ni Ukweli usiopingika 100%
Kwanza mkuu Mshana Jr nikushukuru na kukupongeza kwa kutuzindua ufahamu juu ya jambo hili.
Mada zako huwa zinatuelimisha sana mkuu. Hivi Kuna watu humu wanachukulia mzaha jambo hili.

Mimi binafsi ni mpenzi sana wa kujifunza na kufatilia mada na masomo mbalimbali ya kiroho (spiritual)
Ni Ukweli usiopingika kuwa Tendo la ndoa ni AGANO. Mnapokutana mwanaume na mwanamke pale kwenye Tendo maana yake mnafanya AGANO mbali na kuuburudisha mwili, kwenye ulimwengu wa roho kuna vitu mnabadilishana, ikiwemo laana, mapepo, mikosi, mabalaa, nuksi baraka~(hiyo huwa nadra sana)
Ndio maana kuna mwanamke/mwanaume ukilala nae then ukaenda kwenye mipango yako inaharibika yoote, iwe kazi, biashara, interview, n.k kwa wale wanaofanya bishara nadhani wameelewa ninachomaanisha.
Ki Ukweli jamii sasa hivi ipo kwenye hari mbaya sana hususani kwenye masuala haya ya kiroho. Ni wachache sana tuliojitambua.

Guys, unapojamiiana na Mwanaume/mwanamke tambua kua umebeba laana kuanzia ya Bibi yake+ ya babu yake+ ya mama yake+ ya baba yake+ laana yake mwenyewe. Sikwambii kwenye mapepo,, sikwambii kwenye nyota inavyo chafuka (kismat).
Jiulize umelala na wangapi? Umebeba laana ngapi?
Umebeba ma-roho (mapepo) mangapi aliyokuachia?
Badilika sasa

Hao wanaojiuza wenyewe kutwa wanabadilisha waganga wakuwatengenezea makafara ya kuwavutia wateja wao, na mazindiko yenye maagano mbalimbali.
Mbegu zako unazommwagia zinathamani sana kwà mganga wake, siku utakayogeuzwa kizimba ndo utajua hujui. Haya mambo yapo usifikiri utani.
Ndio maana watu wengi utawaona wanakimbilia sana kwa waganga wakidai mambo yao yameharibika ghafla, wengine wanadai eti wamerogwa kumbe tabia zao ndo zimewaroga.
Unalala na mtu hata humjui anapotoka, asili yake, ukoo wake, nyota yake. Kisa tamaa za mwili zimekutawala. Nakuombea Mungu akusaidie sana

Mungu alipo kataza zinaa hakua na maana kua anauonea donge mzigo wako hapana.
Zinaa mbaya jamani, itakuadhibu kimwili then ikumalizie kiroho.

Ushauri wangu kwa vijana na jamii kwa ujumla, tutulie kwenye ndoa zetu kama umeoa, kama bado hujaoa basi vuta subra mpaka utakapojaaliwa kuwa na mwenza sahihi.

Mungu akusaidie Sana Ufahamu
Negative mentality itakuuua.

Kama mtu akishiriki mapenzi na mtu X , iweje abebe laana tu na hashindwe kubebea Baraka ?
 
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...! Mateka wa kitoho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!
Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako
Tamaa ya maramoja inaweza kusambaratisha familia yako
Tamaa ya maramoja inaweza kupoteza kazi yako
Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema
Tamaa ya maramoja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Ailambishe ugoro mota itawaka
 
Kuna wengine watauliza, sasa Mimi natumia condom, simwagii ndani hayo majanga yatanipata vp?
Sikia ndugu, kwanza ukitumia condom hapo tayari umeshamrahisishia kazi, wanaume wengi akishautua mzigo huwa hajali sana kuhusu mbegu zake, hapo sasa kama yeye ni mbaya na amekukusudia ubaya anaichukua ile condom ikiwa bado inambegu then anaifunga kwa juu na anaiweka kwenye mkoba wake safari kwa mganga, hapo tayari hauna pa kuchomokea, keshakumaliza.
Wengine hupenda sana kutumia Leso kukufutia sehemu zako za ikulu pale anapomaliza jambo lenu. Kumbuka mbegu yako imebeba nafsi ndani yake. Makafara yako kila aina,
Kiufupi tu Acha zinaa, hawa watu hawaepukiki akikusudia jambo lake, si wanawake wala si wanaume,,
Dunia imeshavua chupi,, kuwa makini
Starehe ya siku moja inaweza haribu hatima yako.
Condom siku zote navua mwenyewe n kuflash...istoshe mbunye za kununua ni nuksi tupu
 
Kuna simulizi ya kweli ya jamaa mmoja nilisikia Clouds kwenye PB,jamaa alipanda Daladala ,kwenye siti akakaa karibu na demu mmoja mzuri sana kavaa hijabu,Jamaa akasema uzalendo ukamshinda akamuuliza jina akatajiwa wakaendelea na stori demu alipofika kwenye kituo akataka kushuka jamaa akamuomba namba ya simu ila demu hakumpa akamwambia tutakutana tu

Anasema zimepita kama simu mbili hivi anaona simu ngeni inaingia,kupokea anauliza nani demu akasema ni mimi Fulani tulikutana kwenye daladala,Jamaa akashangaa sana akauliza namba zangu umepata wapi?demu akasema we potezea tu,basi jamaa hakujali sana maana demu alikuwa amemchanganya.

Jamaa akaanzisha uhusiano na demu ila alimpa masharti kadhaa,nadhani baadae alihisi huyu demu sio wa kawaida sasa akawa anataka awasimulie washikaji basi kila akikaa na washkaji alitaka tu kuanza kusimulia demu anapiga simu hapo hapo anamwambia najua unachotaka kuwaambia na ukisema utajuta kwa kitakachokupata.
Jamaa anasema alihangaika sana na hio hali sikumbuki mwisho ilikuwaje ila kwa ulichokisema Mshana naamini kabisa kuna watu tunakutana nao barabarani, kwenye mabasi,masokoni nk lakini sio binadamu kwahio tuwe makini sana.
Hao kwenye redio story nyingi za kutunga,kwahiyo huyo jini alipata namba ya simu kijini
 
Kama haurogwi ujue hauna maajabu best....
Full mass nondo niko kamili gado... Utachomokea wapi hapa kwa mfano
JamiiForums-1494352198.jpg
 
Mshana Jr hii kitu ipo kaka, Singida wana teknolojia moja , changu mmoja anajitoa clone mpaka tano, na anatumika kwa pamoja, nina maana mimi naweza mchukua huyo mwanamke na mwingine akamchukua hiyo huyo na mwingine akamchukua huyo hiyo katika muda mmoja bila ya nyinyi kujua, sasa ishue inakuja kuwa mbaya kwa wale wazee wa kuvutana aka wazee wa kuppiga rivas, ukimzeuza tu hapo ndio anageuka fisi live...nimeshuhudia sijasimuliwa.
Sasa si utakufa kwa presha humo chumbani
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Mkuu umenitoa tongotongo. Nilikuwa sijui kama Tanzania tuna teknolojia kali namna hii. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom