Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

  1. Nilikuwa nimemzoea (alikuwa amefanya kazi kwa zaidi ya miezi 6 bila matendo ya ajabu)
  2. Kukosa uzoefu wa maisha (hivyo vitu nilikua siviamini kabisa, ila wahenga wanasema kua uyaone) !
  3. Ujinga (kuamini watu hawana nia mbaya na mimi, nilikuwa nachukulia watu wanamema zaidi ya mabaya)
Hii Hali Ndio Inanitesa Hata Mimi. Hayo Yote Hata Mm nilifanyiwa Kuletewa Chakula La Ex wangu , Kulishwa Chakula na Watu nisiowajua Nikijua Ni Wema Sana ila Sasa Hivi Nikikumbuka Roho inaniuma Sana Maana Mambo Yangu Hayaendi Kabisa Kama Zamani
 
akifa ni afadhali yako maana kishikio kitakuwa kimekatika.. Ni sawa na hasi na chanya moja ichomoke..! Usije ukamuua kwa makusudi lakini
Ngoja Tuendelee na Dozi ya Chumvi haya Mambo Leo Hii ndio naamini yapo. Siku zote Akili yangu ilikuwa kama Imefungwa Nafanya Jambo bila Kushirikisha Akili kwanza.
 
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!

Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!

Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako

Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako

Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako

Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema

Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Asante Comrade..huu ufahamu wengi hatuna..na wajinga wenzangu washaanza kusema unatutisha😀😀😀

Ndio maana Neno la mungu linasema..Watu wa mungu wanangamia kwa kukosa maarifa.....!
Ndugu zangu..lisemwalo lipo kabisa...ila kwa sasa waweza bisha..hadi likukute😀
 
Asante Comrade..huu ufahamu wengi hatuna..na wajinga wenzangu washaanza kusema unatutisha

Ndio maana Neno la mungu linasema..Watu wa mungu wanangamia kwa kukosa maarifa.....!
Ndugu zangu..lisemwalo lipo kabisa...ila kwa sasa waweza bisha..hadi likukute
 
Wengine huwekewa mafisi
Hii nilishuhudia nikiwa sekondari.Jamaa yangu alikua na mahusiano na biniti mshirikina.Kapiga sana matukio.Alipokamatwa ndo akafungguka kua hata boyfriend wake huwa halali nae,ana uchi wa fisi ndo humuwekea.
 
bro mshana kati ya thread zako zenye ujumbe positive na hii hapa ni mojawapo.Big up sana coz hata mimi nashukuru Mungu sana nlienda mji unaosifika kwa watoto wakali kama wanavyowaita lakini nashukuru Mungu japo mawazo ya kufanya upuuzi yalinijia ila mpaka ninaondoka sikumtendea Mungu dhambi ya zinaa kabisa.
 
bro mshana kati ya thread zako zenye ujumbe positive na hii hapa ni mojawapo.Big up sana coz hata mimi nashukuru Mungu sana nlienda mji unaosifika kwa watoto wakali kama wanavyowaita lakini nashukuru Mungu japo mawazo ya kufanya upuuzi yalinijia ila mpaka ninaondoka sikumtendea Mungu dhambi ya zinaa kabisa.
Baki na msimamo huohuo na Mungu atakubariki na zaidi...!!!
 
Mbona kama huu uzi umenipiga shoti
 
Back
Top Bottom