Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 212
Uyu aspewe jibuDada kuwa na moyo wa huruma
Uyu aspewe jibuDada kuwa na moyo wa huruma
Dah eti chale mpaka matakoni, nimecheka sanaUmeongea jambo kubwa sana... waliopevuka wanaelewa ila wale school boy shida sana kukuelewa.. Dunia ina mengi vijana msione watu wana chale mpaka matakoni... watu wamevurugwa dunia sio salama tena ni uwanja wa fujo.....






Ndiyo nimejua leo asee kumbe watu huwa wanakula za mbuzi kimasihara😂😂umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Mi mekumiss mpaka joto limepanda jamaniVale u r missed!
Usiitupe kaiflash chooni huko unakoenda kuitupa kuna wategaji na by chance wanaweza kuioteaSasa hivi nikimaliza kumnunua salama yangu simruhusu aitoe,naitoa mwenyewe naiweka kwenye toilet pepa nainda kuitupa mbele ya safari
Nalog off
Ahsante sana kwa somoUsiitupe kaiflash chooni huko unakoenda kuitupa kuna wategaji na by chance wanaweza kuiotea
@mshanar Jr we jamaaaaa sooon utatungua chuo...ILA UNANIFURAHISHAGA KUWA HIZI MBO SIONNZURI BORA USALI TUNina mada kuhusiana na nywele ngoja nikutafutie... Ukiweza zilinde sana nywele zako
![]()
Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi
Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...www.jamiiforums.com
Mshana Jr kwa hayo macho yako plus miwan ushawah muona JINI?Jini majnuni hilo..korofi sanaa
Kunifahamu bila kuniona Ana kwa Ana?Na kufanya nayo kazi kabisa![]()
Kunifahamu bila kuniona Ana kwa Ana?Na kufanya nayo kazi kabisa![]()
Huwezi rogwa kama huna pesaInategemea na mganga.. Ila kama unataka kufungamana naye basi zile zinazotoka kwako ndio zenyewe ILA kama unataka kumfanya mtumwa basi hizo za 'kichupa' ndio zinafaa