Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Haya mambo ukiwaza sana unaweza usifanye mishe zako.

Siku moja nimeingia saloon maeneo ya tabata barakuda.
Aliingia mama mmoja na heshima zake jamaa wakamkabidhi fuko umejaa nywele mother akasepa now.

Cha ajabu sikupata akili ya kuuliza kwa nini wanampatia mother mfuko nywele mpaka nilipofika home usiku ndio nakumbuka kuhusu hilo tukio.
 
Nina mada kuhusiana na nywele ngoja nikutafutie... Ukiweza zilinde sana nywele zako

Viashiria ni vingi
. Kuna vingine huanzia ndotoni
. Vingine ni sauti yako ya ndani
. Vingine ni kusita usikojua kunatokana na nini
. Vingine ni kuzuzuliwa usiende
. Vingine havina taarifa
Swali langu je kuna wakali wa kumtengeneza mtu awe na namna automatic za kumgutusha na vitu vibaya au mitego safari, kutafutwa na wabaya, kuonana na mtu sio, na etc.?
 
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!

Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!

Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako

Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako

Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako

Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema

Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Ahsante Sana kwa angalizo hili! Samahani, unaweza kutujuza kwenye huo ulimwengu wa giza manii zinatumika kutengenezea nini? Umesema manii ni malighafi muhimu huko! Tafadhali nisaidie kujua hili!
 
Ahsante Sana kwa angalizo hili! Samahani, unaweza kutujuza kwenye huo ulimwengu wa giza manii zinatumika kutengenezea nini? Umesema manii ni malighafi muhimu huko! Tafadhali nisaidie kujua hili!
Mimba za kuzimu
Ugumba
Mvuto
Dawa za mapenzi nk
 
Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
nafikiri tumeelewa sema jinsi ya kutafsiri na kuacha njia zetu tulizozoea MUNGU atuhurumie tu.
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Haahahahah daaaah. Mungu aniepushe na Kununua Changudoa
 
Yan nimeumia na ujumbe wa mshanajr mimi nimekua addicted na malaya sio kwamba mademu nashindwa tongoza hapana zile mambo za kuulizana upo wapi unafanya nini usipo mtumia sms au kumpigia ananuna nikaona bora kula tu hizi mbuzi za usiku kwa haya nimekoma
Kwahiyo huna Mtu Maalum
 
Back
Top Bottom