Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Pia kuna kufungana nyota yaani nyota zenu zinapatana.
Japo nimeoa lakini kuna my soulmate wangu tulipendana Sana dakika za mwisho jamaa aniwini nikampa information zangu bila kujua akaenda gizani akaloga akamteka binti akamuoa ilikuwa ngumu Sana kumuachilia mawazoni niliteseka zaidi ya mwaka.
Japo nimeoa lakini bado nahisi she was the best my soulmate.
 
Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....

Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Kiukweli. Mm nina rafiki yangu walitemana na demu wake ilikua mgogoro demu alikua nawafunga tela sasa jamaa akastuka cku ya mkasa kdgo ngumi zipingwe maana njemba ziligongana live live club. Rafik yangu akamzd mwenzie ubavu kaenda lala na demu kesho.kamchana ww na mm by by unagawa. Demu mzigua kaenda kwao kamshuba mchz injini. Daah japo mchz alipona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!

Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!

Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako

Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako

Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako

Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema

Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
piga machine mtu ambae unamjua backgrouns yake wa kuokota tu msalaaa
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Hii kubwa kuliko,
Ila mtu yeyote reasonable huwa anaajiuliza ,je wale ni watu gani wasioogopa mradhi na wasiochoka kukutana na mipini ya kila ina usiku kucha, asilimia kubwa wana mazingaombwe. Mi binafsi nilikuwa nawaza wengi ni wachawi anakuwa na misukule yake ambayo ukidhani unamgonga yeye, kumbe mwenzio yupo kando anakuinjoi wewe na msukule, maana dunia ya usiku ni ya nguvu za giza zote zipo unleashed lolote linawezekana,
 
Duuh,! Mkuu!! Hii nayo Kali , ngum kumeza ila inashangaza Sana!
Kwa story yko inamaana Hawa watu hawawezi pata HIV, STI na HEPATITIS B&C hata Kama wakishrik na waathika wa magonjwa hayo?

Cdhan ! labda Kama walilopoka ili wakutishe kua Wana via vya uzazi tofauti na kawaida ya mwanamke!
Sidhani kama unahitaji kuwa na mastery degree hapo,

Kwa akili ya kawaida inawezekanaje mwanamke mmoja akalalwa na wanaume 15 kwa siku moja?

Naamini usemi wa kuwa zile mali siyo zao, na ndiyo maana anaweza kuwapa hata watu 100 bila kuchoka,

Hahahahahaaaa anagongwa Maimuna anaumia Mbuzi wa jirani,
 
Tafuta nyumba ndogo ya kiswahili unayoamini. Ukisafiri kikazi nenda naye kwani huwezi kumaliza 250,000 peke yako kwa siku
 
Back
Top Bottom