Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Baada ya mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kumuambia waziri wa habari utamaduni na michezo kuwa ataondoa shilingi kama hatajibu kwa kina ni kwa nini kitabu cha waziri wa habari utamaduni na michezo hakija ongelea chochote kuhusiana na kutekwa, kuong'olewa kucha na macho kwa wandishi wa habari.

Spika akamuambia "Wee sugu, mheshimiwa Mbilinyi, tusianze kutafutana,.. Hatuna muda wa kupoteza hapa". Tuendeleee.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
duuu Makinda kwa vitisho bwana kwani kuna siri hapo?
 
Haya ndio maisha bora kwa Maccm
kikwe.jpg
 
Mama anatumia approach ya "funika kombe mwanaharamu apite"...ila gharama yake ni kubwa by 2015 they have to pay it oll diligently
 
mama kwa mkwara, sasa watafutane wapi yeye na sugu.!!
 
Kwani huwa anatafutwa wapi mbona anatoa tungo tata....
 
Hahahaa. Mama wa watu wanampa shida maskini. Anagomba utadhani mama mwenye watoto mapacha.

Mimi kilicho nishangaza ni neno "Tusianze kutafutana", hii maana yake ni nini? Inamaana kuwa huwa kuna kutafutana kwenye kutaka kujua kwa nini waandishi wana ng'olewa kucha, meno na macho?
 
Thamani yao haipo tena, kwani vitendo hivyo havipo? Huu ni umwamba wa kipuuzi sana.
 
Hahahaa. Mama wa watu wanampa shida maskini. Anagomba utadhani mama mwenye watoto mapacha.

...Alafu kuna watu watataka tumpe mwanamke nchi hii iliyooza hivi kweli atuongoze!....kama huyu mwanamke aliyepewa nafasi kishikaji anafanya madudu haya.....I really miss Samwel Sitta.....

...Hivi wale waliompa huyu Makinda hii nafasi wanajisikiaje sasa?...hivi hawaoni huyu anawaharibia hata wale wanawake mahiri tulio nao e.g (kina Prof.Tibaijuka)....

...Hatuwezi ku generalize udhaifu huu kwa wanawake wote....lakini udhaifu mkubwa anaoonyesha huyu mama unatosha kabisa kuwafanya wanawake wapotezewe kwenye nafasi ya urais wa nchi hii....Ile ndoto ya gender equality kwenye nafasi kubwa kama ya urais wa nchi hii hakika haitapewa nafasi na watanzania.....kwa upuuzi tu anaofanya huyu Kinda......

.
 
Linapokuja swala la maisha ya watu wanajidai hawana muda wa kupoteza..nonsense
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom