Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

Mimi kilicho nishangaza ni neno "Tusianze kutafutana", hii maana yake ni nini? Inamaana kuwa huwa kuna kutafutana kwenye kutaka kujua kwa nini waandishi wana ng'olewa kucha, meno na macho?
kwani waziri wa habari tangu lini akajibia mambo ya wizara ya mambo ya ndani?kweli swali na wanajeshi unamuuliza waziri wa wanawake jinsia na watoto.Au sugu alikua ameshawaka nini?
 
kwani waziri wa habari tangu lini akajibia mambo ya wizara ya mambo ya ndani?kweli swali na wanajeshi unamuuliza waziri wa wanawake jinsia na watoto.Au sugu alikua ameshawaka nini?

Sasa nini kilimshinda waziri angalau kusema tu kuwa matatizo ya waandishi yanashughulikiwa na angalau aseme kuwa yanashughulikiwa na mamlaka zipi. Tatizo lingekuwa wapi?! Au spika kusema "hatuna muda wa kupoteza" ndio sawa?!
 
Hajui huyo mama kama hiphop harakati za kudai haki za wanyonge,Sugu oyeeee........

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi kilicho nishangaza ni neno "Tusianze kutafutana", hii maana yake ni nini? Inamaana kuwa huwa kuna kutafutana kwenye kutaka kujua kwa nini waandishi wana ng'olewa kucha, meno na macho?

Maana yake ni awe makini yasije yakamfika na yeye ya kung'olewa kucha na meno bila ganzi!
 
CCM chini ya bunge lenye CHADEMA mtataga yai la njiwa
 
na wewe nawe ni great thinkerumeleta uzi ili ujadiliweujinga mtupu
Baada ya mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kumuambia waziri wa habari utamaduni na michezo kuwa ataondoa shilingi kama hatajibu kwa kina ni kwa nini kitabu cha waziri wa habari utamaduni na michezo hakija ongelea chochote kuhusiana na kutekwa, kuong'olewa kucha na macho kwa wandishi wa habari.Spika akamuambia "Wee sugu, mheshimiwa Mbilinyi, tusianze kutafutana,.. Hatuna muda wa kupoteza hapa". Tuendeleee.Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Tatizo la shangazi yangu, badala ya kuwa na wabunge anakuwa na serikali.
 
bi kiroboto haingii bungeni bila kula viroba.

Mhh na hivi wana mpango wa kuviondoa viroba sokoni anaweza akavamia gongo bila kujijua! Ni Kiroboto anakurupukaaa tu na kusema HOJA HAIJADILIWI utadhani bunge ni mali yake binafsi!!
 
Yaani huyu mama ni bora hata angepata mtoto asingekuwa na hiyo roho ya kiroboto!!
Kukufyonza mpaka ukiuliepo kinapofyonza?!
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1369160520592.jpg
    uploadfromtaptalk1369160520592.jpg
    16.6 KB · Views: 117
Makinda akilala na anapoamka sala yake ni asikutane na chalenge yeyote ya mpinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom