KumbeEti baba wawili kuna kaukweliView attachment 1022764
Ndio uanze kutembea kwa swagger sasaKumbe
Leo ndio nmefahamu hili,kwann sivutii,mwenzio natembea ili mradi natembea tu,hata sijui kama kutembea(muondoko) kuna swaga pia shangaz
Hahaha kwa starehe zao,,huyo jamaa anafaa kuchunguzwa hasaBangi sio nzuri jamani vijana muache mkiongozwa na baba wawili ningendako binamu Obe na shemela shululuView attachment 1022793
Ndio kutembeaje huko shangazNdio uanze kutembea kwa swagger sasa
Kutembea bega moja juu moja chini ndio hivyo baba wawili badili mwendoNdio kutembeaje huko shangaz
Tupooo habari yakoWakuu mpo hapa?
Binamu obe ndio anasemaga hivyo
Haha basi sawa shangaz,ntakupa mrejeshoKutembea bega moja juu moja chini ndio hivyo baba wawili badili mwendo
Tupooo habari yako