Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Ooooooooooohhhhhhh! Yeeeeessssssssssssssss!!!.......mie nakumiss we mlimbwende cheupe dawa mtoto mlito Shunie Shunie shangazi hadi numwa ujue.
Halafu nakupenda sana we mlimbwende


fanya tukutane mitaa yetuHahahahaha..huyu anko bora aende..maana dah tunakesha nae sana ktk ma lindo ya usikuTHANK YOU,, JOYCE LOMALISA !!View attachment 2977252
“Hatujawahi kutoka kambini tukasema tunakwenda kuwafunga wapinzani mabao matano, kushinda mabao mengi inategemea na makosa gani mpinzani ameyafanya dhidi yetu, tuna staili ya soka letu namna ya kutafuta ushindi, kitu muhimu kwetu ni kushinda kwa kupata pointi tatu na kucheza soka la kuvutia,”
“Nini kinafuata? Kuondoka kwake (Benchikha) kunaipa Simba nafasi ya kuanza upya. Naambiwa Simba wamepania kuachana na kundi kubwa la wachezaji ambao wanaamini hawana msaada kwa sasa katika kikosi chao.Hahahahaha..hizi huwa sio kesi..kwa mtu anayejua taratibu za sokaNI YANGA TENA NA RUNGU LA FIFA, IMEFUNGIWA KUSAJILIView attachment 2977259