Makapuku Forum


Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Messages
16,264
Likes
32,937
Points
280
Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2015
16,264 32,937 280
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
 
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
11,424
Likes
50,668
Points
280
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
11,424 50,668 280
...kweli binamu, wakati pombe huleta ujasiri, fursana motto ni dawa ya deni kukopa.
Happy furahiday binamu. Mambo yanaenda lakini?

....nipo hapa mjini, nimemsindikiza abiria mmoja kaja kuosha nywele
Hahaha ni kweli kabsa binamu,,mimi mzima kabsa
Happy furahiday na kwako pia binamu,,,et umemsindikiza kuja kuosha macho au ndio tyl umeshaanza mawindo jinsi ya kumpata sepenga
 
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2007
Messages
8,517
Likes
28,517
Points
280
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2007
8,517 28,517 280
....wakati mbunge wetu wa vitu maalum CCM akisema kuwa ufungwe mtambo wa kuwatambua wabunge weneye magovi, hii ndo jumuiya ya EAC, waziri huko Uganda kasema wanawake wenye misambwanda wanaweza kuwa ni moja ya kivutio cha utalii. Fikara za viongozi wetu wanazijua wanaowateua. Nadhani hii i mwendelezo wa Miss Bantu

 
Tumosa

Tumosa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Messages
15,581
Likes
49,355
Points
280
Age
29
Tumosa

Tumosa

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2016
15,581 49,355 280
Verse of the Day
Mithali 15:4
4 Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.

Commentary
Maneno ni yenye nguvu. Wazungumzaji wanajua hili. Wazungumzaji wanajua hili. Chini chini, unajua hili. Maneno yamekubariki wewe na maneno yamekuharibu. Uponyaji inayotoka kwa neno la aina na laini ni la thamani. Uharibifu wa kudanganywa kwa ukatili au udanganyifu ulioambiwa vizuri ni kusagwa. Kuwa na nguvu hiyo ni ajabu. Kutumia nguvu hii ya kushangaza iliyopatikana katika hotuba yetu ni wajibu mkubwa. Maneno yana uwezo wa kutoa uhai, matumaini, na amani inapotolewa kwa upendo kumheshimu Yesu. Hebu tuonge neno hilo leo!
 

Forum statistics

Threads 1,262,324
Members 485,560
Posts 30,120,652