Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
2,762
8,321
Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,

Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town

Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa ninachoumwa, anyway story iwe fupi kiutani utani nikawa nimenasa bhana,

Namshukuru partner wangu amekua na mimi bega kwa bega hadi siku ya mwisho naenda kufanyiwa C-Section na kumleta a beautiful baby duniani

Special thanks to my family, nyie walijua kunicare, kunidekeza ofcourse ni lastborn wao ninastahili

My baby and I tumetimiza one month tangu tupambane for 9 months na ile siku yenyewe, siku ya kuchungulia kifo uwiiiii
Mtoto wangu ni shujaa wangu kila siku hua namwambia hilo, amenipa the best experience sikuwahi kuiwazia, yes kulikua na ups and downs hasa miezi mitatu ya mwanzo na miezi mitatu ya mwisho lakini tulipambana hadi tukaonana

Wanawake wote wenye watoto hongereni na ambao bado niwatoe hofu tu ni jambo zuri msitishwe na mijineno ya waja,

Next time nitakuja kuelezea safari nzima ilipoanzia, changamoto, nakadhalika, hii ni kuwatia Moyo Wanawake wote lakini pia kuwafanya Wanaume wawaheshimu Wanawake zao, Mimba hadi Kuzaa sio mchezo, inaathiri kimwili na kihisia pia

Itapendeza kama mkiwa positive na kutoa hongera bila kuweka mambo binafsi ya watu maana utakua ni umbea na hasa nyie wanaume ndio wambea sana mtakuja kusutwa kwa makopo ya chooni

Kheir ya Mwaka mpya wana JF wooooooooote
 
Huge congrats kwa the little one on the horizon,ka Lil Mariposa....
Big ups for soakin' in that joy and building up the fam legacy with your Mr right. It's a solid move cause life without a fam feels like ya' short on something essential.....

Mwakani na blessings flow even stronger for you... the fam pamoja na whole JF members....
Life's all about the good vibes and doing things right brings that joy and all the good stuff.
Keep it real,stay happy and here's to more awesome moments aheaddddd...
 
Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,

Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town

Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa ninachoumwa, anyway story iwe fupi kiutani utani nikawa nimenasa bhana,

Namshukuru partner wangu amekua na mimi bega kwa bega hadi siku ya mwisho naenda kufanyiwa C-Section na kumleta a beautiful baby duniani

Special thanks to my family, nyie walijua kunicare, kunidekeza ofcourse ni lastborn wao ninastahili

My baby and I tumetimiza one month tangu tupambane for 9 months na ile siku yenyewe, siku ya kuchungulia kifo uwiiiii
Mtoto wangu ni shujaa wangu kila siku hua namwambia hilo, amenipa the best experience sikuwahi kuiwazia, yes kulikua na ups and downs hasa miezi mitatu ya mwanzo na miezi mitatu ya mwisho lakini tulipambana hadi tukaonana

Wanawake wote wenye watoto hongereni na ambao bado niwatoe hofu tu ni jambo zuri msitishwe na mijineno ya waja,

Next time nitakuja kuelezea safari nzima ilipoanzia, changamoto, nakadhalika, hii ni kuwatia Moyo Wanawake wote lakini pia kuwafanya Wanaume wawaheshimu Wanawake zao, Mimba hadi Kuzaa sio mchezo, inaathiri kimwili na kihisia pia

Itapendeza kama mkiwa positive na kutoa hongera bila kuweka mambo binafsi ya watu maana utakua ni umbea na hasa nyie wanaume ndio wambea sana mtakuja kusutwa kwa makopo ya chooni

Kheir ya Mwaka mpya wana JF wooooooooote
5e60c983229ae6a7bb5756ab6395a1c3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana Dr. Na hongera kwa kushare hii furaha yako na sisi, JF inahitaji hizi moments the most, tumechoka na negativity na malalamiko kila siku.

Kiss our baby on the forehead for me please, mdogo… kila kitu chake kidogo, miguu, mikono, kamdomo eishhhhh! 😍🥰
 
Umbea unaazia hapa...

We si huwa unapeleke moto wanawake wenzio??😳😳

Hee kumbe huwa mnajifanyisha tu na kuzaa kumbe mnaweza

Pumbavu sanaa wale ma Tomboy na "men like women" kumbe mkipelekewa moto na mimba mnapata...!!!

#YNWA
I second you bro,nime angalia hilo jina nika kumbuka huyu mtu alisema yeye ni lesbo kumbe wana zaa bwana kweli hamna mkate mgumu mbele ya chai.Hongera Mariposa and hopefully huyu sio wa mwisho na sasa hatimaye unajua utamu wa dudu la yuyu.
 
Back
Top Bottom