ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Njemaa sana jirani yangu Valentine wako hajambo?Sijambo jirani,habar za uzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njemaa sana jirani yangu Valentine wako hajambo?Sijambo jirani,habar za uzima?
Hajambo jirani,vp kwako ?yupo poa binamu?
Hatimaye umerudisha avatar yako
Baba wawili habari yakoHajambo jirani,vp kwako ?yupo poa binamu?
Salama shangaz,habar za kwako?Baba wawili habari yako
Hayaa jambo la kheri hilo,ah binamu si mnashinda nae humu kila siku jaman jirani weye..Hajambo jirani,vp kwako ?yupo poa binamu?

Habari ya kwangu nzuri baba wawili weekend ndio imeanza eenhSalama shangaz,habar za kwako?
Jion ya weekend ndio hiyooo
Bora nilikua naipendaga mimi
Haha jirani wewe,,mapesa ya koroshow huyataki eehHayaa jambo la kheri hilo,ah binamu si mnashinda nae humu kila siku jaman jirani weye..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa shangaz,ni jambo la kheri kama u mzima na weekend umeianza vyema piaHabari ya kwangu nzuri baba wawili weekend ndio imeanza eenh
Haha jirani wewe,,mapesa ya koroshow huyataki eeh


hapana siyataki yana msururu mrefu





Yaan naipendaga sana kanaonekana kadada kastaarabu kama mm jamanii