Makapuku Forum

Makapuku Forum

bec314342d7f9851ddc2c4b0176717c1.jpg

Nauza pamba
.......
 
Mimi mzima shem.

Wanajamvi,
Msinielewe vibaya hasa maswaiba wangu wa Makapuku Forum kwa swali hili....hii yote nikutaka kutaka kuelimishwa,maana naona haina ukomo sasa naulizwa ni forum ndani ya forum??Na mwisho wake ni lini?au haiwi closed topic??
Asante nawakilisha.

Were unaham ya kuchambwa. Subiri wake

Kimsingi JFIleee iliyokuwepo enzi zile sio hii ya sasa. Hao wanaojiita makapuku wamefanya forum kuwa kijiwe cha mipasho. Nawashauri waungane na Mzee yusuph

Kuna forum inaitwa hivyo "Makapuku Forum"sasa huwa sijui ni pin thread au ni sub forum hata haieleweki.

Mkuu KakaKiiza,

Makapuku Forum sio forum ndani ya forum. Wala sio subforum. Ni thread iliyoanzishwa na wanachama wa jukwaa pendwa la CC (ChitChat) ambao wanakutana na kupiga soga.

Asante.

heheheeh kakak.. wageni wamefanya mapinduzi nakumbuka enzi zenu na kina preta mchambuzi boflo kongosho philipo mwali kaunga madame b madam x n.k mlitisha sana.

acha nao wafanye yao í ½í¸€

Ameen be blessed....

Cc Bitoz Jimena Th Name et al

Nimeona hiyo. Hata huyo mleta mada alikuja kule kwenye ule uzi

Ni kweli.. Ningeshauri mods waondoe hao watoto

Una miaka 100 au?

Uhisivyo..

Sasa povu la nini? Ule ni Uzi kama nyuzi nyingine humu. Kama wale wanaonzisha labda wana JF wa mwanza tukutane hapa, au wale waliosoma shule Fulani tukutane hapa. Sasa kama unataka ufutwe muungane wote mreport ili mods waufute

Mods wenyewe hapo ametoa maelezo mazuri tu

Samahani sana mkuu, kwanza sikuwa naielewa hiyo makapuku ila ndio sasa nimeitembelea nimeona maudhui yake.. Hongereni sana, naona kwa siku moja mnasukuma mpaka page 20 mkipiga soga. Alafu 99% mmejiunga JF 2015 na 2016.. Nchi ya viwanda iko mbioni..

Nashukuru kwa hilo. Ndo ukaanzishwa chit chat. Nchi ya viwanda italetwa na wale walioahidi.

Nice day

Hahahaha, watu mna maneno... Kaah!

teh teh teh kanichekesha sana hapo aisee..

Hahah sio sana

Nashukuru kwa kumjibu kiungwana

Alikujaga KUTUKANA TU
Na huu uzi kuanzisha kichokozi tu mpotezee

Yy kawahi kuanzisha thread gani ya maana pale Chit Chat anasumbuliwa na wivu na km alitaka tuje tutukane ili tupigwe BAN kizembe basi asahau tunamuignore hata ajaze povu kisado kizima

Nilimuona sana.

b7338aca9610979bd8ad677a5edab858.jpg

Tusimpe kick sasa tusepe
Tumuachie lithread lake limdodee


Hahahaha jamaa waji tenga na kujiita makapuku

Hahaha una tafuta ugomvi

Asante shem
Natumaini umzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom