Makapuku Forum

Tuko pamojaa ..

Sijaweka kigezo chochote nikiwa na maana yangu ...

Anyway ni mda kadhaa tangu tumchague na tumeona au tunaweza kumlinganisha na baadhi ya waliotangulia ..

Je kutokana na maamuzi anayoyachukua mbalimbali (aina ya kigezo) ni sahihi anastahili ukilinganisha wadhifa alionao na maamuzi anayoyachukuaa ??
 
Makaburi ni shida
 
200k
kwanza tujipe hongera wenyewe kwa kila mmoja waliopo active kuanzia kitambo,sasa na kesho
nimeingia ktk hii familia mwezi wa 12 mwaka jana nakumbuka kipindi kile nilikuta kama posts 120k, na post yangu ya kwanza humu ndani niliandika namba yake ila kwa sasa nishasahau kwa kipindi hiko sikuwa active kwa sana...

Mondray huyu braza ndiye alienileta humu na kufanya mm kuwa active mpaka leo
kwa kipindi hiko nilikuta watu kama Queen Kan, Nyagei, Emmyta, Lee, Shunii, Sakayo, Transcend, Mussolin, Bitoz, BH, Werrason na wengine, baada ya siku 2,3 Shedede nae akatinga...

kwenye wengi kuna mengi, kuna baadhi ya watu washawahi kunikwazwa kwa namna moja au nyingine "sitaweza kuwataja hao watu" pia siwezi kusemea kwa upande wao ila kama kuna niliyemkwaza anisamehe kwa kweli

humu ndani nitakosekana labda leo na kesho ila sitakosekana kwa kipindi chote

credit kwa Bitoz na timu yake kwa ujumla kwa kuleta kitu kama hiki humu jf

nimejifunza na nitajifunza mengi
 
Nawafatilia kwa ukaribu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…